walokole

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yajue maajabu 20 ya maisha ya "walokole"

    Hapa duniani kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana. Watu hao ni wale wanaokiri kwamba wametubu dhambi zao, wanaamini kuwa Yesu ni Bwana, na wanaishi maisha matakatifu. Wanaowabeza na kuwadharau watu hao huwaita “walokole.” Haya ndiyo maajabu 20 ya maisha ya “walokole:” Hawalogeki. Wachawi...
  2. Barua ya wazi kwa Walokole

    P.O.Box ..... Kwa ustaarabu nasema walokole mnatufedhehesha sisi WAKRISTO. Inakuwaje mtu unaanza kuropoka kwenye bus halafu unalazimisha watu wakupe pesa la si hivyo basi halitofika salama? WALOKOLE ACHENI UTAPELI.... Nimefurusha tapeli mwenzenu mmoja, Ile ameanza tu kujifanya anaomba...
  3. Kwanini Watu Bado Wanaendelea Kuomba Kwa Nafsi za Wafu?

    Utangulizi: Katika maandiko matakatifu, tunapata maagizo ya wazi kuhusu hali ya wafu na jinsi tunavyopaswa kushughulika nao. Aya za Mhubiri 9:5-6 na Kumbukumbu la Torati 18:10-12 zinatupa mwongozo wa moja kwa moja ambao unaweza kutumika katika mjadala huu. Hata hivyo, bado kuna desturi miongoni...
  4. Nataka niandae pambano la kushindanisha nguvu kati ya walokole vs waganga, wachawi, na waotumia nguvu za giza

    Ukipita sehemu za wanamaombi utasikia wakiutuma moto (wanapiga faya) kwenda kwa shetani, mapepo, wachawi na waganga. Ukiingia kwenye makanisa yao utakuta watu wamepagawa na mapepo, mapepo yanasema naungua, naungua, usinichome, natoka. Kuna watu wanasema huko makanisani kuna maigizo na hizo...
  5. Walokole siasa kali wanamuona Joel Lwaga hana tofauti na Diamond

    Hili wakuone unaimba gospel kweli inabidi kwenye verse moja utamke Yesu mara 200. Uvae mashati ya kung'aa ,chini moka na nk. Hawa wasanii wanaoimba gospel janja kwa walokole siasa kali wanawaona kama wanaimba pini za kina Diamond tu.
  6. M

    Walikuja walokole kutaka kuniombea eti niwe tajiri

    Jana wakati nipo nimekaa wakaja walokole 5 na mgeni 1. Wakaniuliza nina matatizo gani? Yaani changamoto gani ktk maisha inanisumbua. Nikawaambia sina pesa . Jamaa wakaniambia nifumbe macho tuanze kuomba kwa jina la Yesu nitakuwa tajiri. Nikiwatizama wenyewe wamevaa yebo yebu , mguu kuku mguu...
  7. Hapana Uchawi kwa Walokole kindakindaki. Haina haja ya ndumba

    Hapa siwazungumziii walokole wa kusali bora liende la hasha. Kwa wale walio badilishwa maisha yao na kumfata YESU KRISTO na kumwamini ushirikina hauwezi kufua dafu hapana nazungumia hirizi, kuvunjiwa nazi mlangoni, kuchinjiwa ndege sijui vyote hivi haviwapati kamwe.
  8. I

    Baadhi ya Walokole kwanini wako hivi?

    Habari. Haya ni mambo baadhi niliyonifunza kupitia ulokole au kuokoka. Kiukweli miaka 3 iliyopita nilikuwa mkristo mzuri sana na muumini mzuri ninayefuata misingi ya kiimani ya kipentekoste au ulokole. Mungu anisamehe maana now natimiza mwaka sijui mlango wa kanisa yalinisubu ni mengi ila...
  9. Uislam umegawanyika kama Ukristo, Wapo walokole wa kiislamu!

    Dini ya Uislamu ina madhehebu kadhaa makuu, ikiwa ni pamoja na Sunni, Shia, na madhehebu mengine madogo. Kila dhehebu lina imani na mafundisho yake maalum ambayo wafuasi wake wanaamini kuwa ni sahihi. Madhehebu Makuu ya Uislamu: Sunni: Hili ni dhehebu kubwa zaidi katika Uislamu, likiwa na...
  10. Vijana mnaotaka kuoa " Kamwe usioe mwanamke Mlokole"

    My Take Wale mliooa walokole njooni mtoe uzoefu wenu Kwa Vijana 👇👇
  11. Walokole hapa ndipo tunapokwama!

    Hatujasema maombi sio muhimu! Maombi ni ya kiroho! Lakini roho iko ndani ya mwili! Na mwili una mahitaji yake kama chakula, mavazi, na malazi! Ebu tuwe na busara!
  12. Yesu akirudi leo atasali wapi? Kwa Wayahudi, RC /Wasabato au Kwa Walokole? Au Mashahidi wa Yehova? Naomba majibu

    Nawasalimu wote. Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU. Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni akihubiri injili, Wayahudi hawakupendezwa sana wakisema anakufuru na kupelekea kumsulubisha msalabani...
  13. D

    Uaminifu ndio ishara ya kumpenda Yesu

    Ujumbe wenu leo
  14. Somo la ki-islamu lazua sintofahamu, Je, Sabato, Katoliki na walokole Imani inafanana?

    Kitendo cha serikali kuweka Somo la DIVINITY kwa wakristo wote ni kuwakosea wakristo,>imani zao ni tofauti sana, wapo wanao abudu sanamu, wapo wanao heshimu sanamu, wapo wakristo wnaopinga kuabudu na kuheshimu sanamu. Wapo wanao amini roho mtakatifu na wapo wanaokataa kabisa, wapo wanaosali...
  15. KKKT, Walokole je, ni sawa kwa mwanamke alie kwenye hedhi kuendesha ibada?

    Hapo zamani KKKT hawakuruhusu ila nadhani walianza kuiga kwa Walokole. Je, kwa mwanamke alie kwenye mzunguko, ni sawa kuendesha ibada takatifu? Ni kinyume hata kwa agano jipya kitabu cha 1Timotheo 2 inayohusu maagizo ya utaratibu wa ibada. 1 Timotheo 2:12 >> "Simruhusu mwanamke yeyote...
  16. Hivi walokole mna shida gani?

    Katika dhehebu linastahili kufutwa ni walokole, mtu umekaa unafurahi zako mkeka umetiki anatokea mlokole anakuambia hiyo furaha unayofurahia bila kuokoka ni kazi bure. Muda huu nipo kazini nasalimiana na mfanyakazi mwenzangu anatokea mlokole anamwambia mfanyakazi mwenzangu asichangamane na watu...
  17. Swali: Hivi walokole wa karne ya 21, mnatongozaje wanawake siku hizi?

    Enyi Wana WA Nuruni Naomba mje mnisaidie hii kitu Kwani skuhizi walokole mnatongozaje dada zenu waliookoka? Maana me nimetongozwaga zamani, Zamani ilikuwa ukimpenda mpendwa, unamwambia Mzee WA kanisa, anaenda Kuongea na dada, akikubali, anarudishwa jibu ndio mnakutana Kwa Mzee WA kanisa...
  18. Cheki walokole walichofanya hapa

  19. Yakitokea mashindano kati ya wachawi konki na walokole konki, ni wepi watashinda?

    Shindano liwe la wazi na lifanyike kwenye uwanja wa wazi, kina Mwamposa, Kuhani Musa, na walokole wengine konki, wakashindane na wachawi konki kama Mshana Jr, Bujibuji Simba Nyamaume na wengine. Wachawi wamvimbishe tumbo FaizaFoxy au wamkate kichwa Lucas mwashambwa , au wampige busha THE BIG...
  20. M

    Ujumbe kwa Anthony Lusekelo anayeamini ana tiketi ya mbinguni tayari pamoja na wanaojiita walokole

    PAPA FRANCIS ALISEMA: "Fikiria mama asiye na mume anayeenda kanisani au parokiani, na kumwambia katibu: NATAKA KUBATIZA MWANANGU, na mhudumu anasema: 'Hapana, huwezi, kwa sababu hajaolewa..." Tukumbuke kwamba. Mama huyu alikuwa na ujasiri wa kuendelea na ujauzito - na ni kitu gani kilichompata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…