Nina jamaa zangu wa makabila haya kwakweli kusoma chats zao huwa ni mateso sana.
Wenzangu mmewahi kumbana na hili?
Unaweza weka screenshot bila kuonesha namba au jina la mhusika.
Hii barabara ya Bigwa - Kisaki serikali inaonesha dharau ya wazi kwa watu wa huku. Imagine magari yanasafiri kilomita 80 Moro -Mvuha kwa siku tatu. Halafu bila aibu CCM watakuja kuomba tena kura.
1. Mwanamke ndio mwenye nguvu watoto ni wa mama na watoto wanawaheshimu wajomba sio wewe baba.
2. Mwanamke wa kiluguru ukimuoa kila mwaka lazima arudi kwao kucheza ngoma na huko lazima akutane na ma X wake agegedwe.
3. Waluguru wanapenda kuishi pamoja ukoo mzima yale maisha ya kijima ya zama...
Asili ya neno Morogoro ni Mluguru ili kujua zaidi twende pamoja.
KAMA utairejea historia ya Morogoro ya miaka ya kati ya 1870 hadi 1888, kipindi ambacho Sultan wa Zanzibar alikuwa Sayyed Barghash, uitagundua kuwa kwenye safu ya Milima ya Uluguru na pembezoni mwake kulikuwa chini ya Machifu wa...
Hehehehee yaani nimekoma nimekomesheka, pamoja na ulevi wangu wa mauno, kuna umuhimu wa kujiuzuru haraka kwenye penzi la mluguru na Mzigua , sijui wana kibubu cha mufilisi kupitia mapenzi, kama jini hilo ni jini kipepeo kila dakika beby, mume, nikwambie kitu, mara sijui mara sijui shughuli a, b...
Leo nimehudhuria msiba wa waluguru nimeona mambo ya kushangaza naomba mnisaidie maelezo.
Mtu amefia nyumbani kwake tena chumbani kwake anapolala na mke wake.
Sasa kwakuwa marehemu ni muislam wameamua kupitia mila ya waluguru kumuosha mwili wake mulemule chumbani.
Kilichotokea wamechimba shimo...
Kwa sasa hata kwa baadhi ya matambiko ya kiluguru kuna maneno ya kiluguru utayasikia yanasemwa, haya maana sana ila yanaonesha hali ilivyokuwa kipindi hiko.
Kagone vigonele fungo
Munu mkulu kagona kikunza
Kwekuka wayago tokuja
Hayo maneno utayasikia kwenye matambiko, siku za hivi karibuni...
Nene msukulu wa Mbago, Bwana Mkoba au Mfuko Nawasalimu.
Nitatumia siku tano, kuelezea baadhi ya Mazingira ya watu wa Morogoro kila siku ikiwa na mada tofauti. Lakini leo naanza na nadharia ambayo si ngeni kwa watu wengi waliomo humu.
Naam, kuhusu kabila la Waluguru. Imetajwa kuwa waluguru...
Imekuwa sasa desturi kwa jamii kwa ujumla hasa wanawake wa Kanda ya Kaskazini (Kilimanjaro, Manyara na Arusha) kuonyesha dharau za waziwazi kwa sisi Waluguru eti kisa kimo/height yetu kwa taarifa tu sisi Waluguru ni watu wenye mapenzi ya dhati na ni watundu sana kitandani hakika ukipata mluguru...
Asili: asili ya waluguru husemekana kuwa imetokana na watu kutoka maeneo ya chini(low land) kuhamia katika mlima kwasababu mbalimbali kwa mfano mapigano ya wenyewe kwa wenyewe na njaa na pia kukwepa utumwa wakati wa enzi za utumwa , mfano kuna mapokeo miongoni mwetu kuwa waluguru walikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.