wamaasai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wamaasai haooo!! Wameshalijua kulicheza singeli 😂😂😂

    Kweli Tanga imeshawabadirisha wamaasai hahah bado wahadzabe😂😂 https://youtu.be/-Mk2nr6Nq7Q?si=8jbLCwgH2Q6Px5xd
  2. O

    Kwanini awamu zingine hatukusikia mambo ya kuamishwa kwa wamaasai?

    Kuna nini pale sio kwamba mikataba ya ajabu imewekwa na Sasa muwekezaji anafosi wamaasai watoke na ana ushindi hata mahakamani? kama Kuna watu Wana vibali vya kuwinda je hawafanyi zaidi ya hapo vipi kuhusu kuharibu hifadhi je hii ndo sababu kubwa?
  3. Ngorongoro ni haki ya wamaasai, serikali msijitoe akili.

    Wamasai ni watu! Wamasai ni watanzania, wamasai ni waafrika na wamasai ni ndugu zetu! Nilipokuwa mdogo miaka ya 80 nilipata bahati kubwa ya kuzunguka na mzee haswa nyakati za likizo tukitembelea maeneo mbali, nilipata uzoefu wa kuona Maisha ya watanzania wenzangu, na hii ilinifanya kujifunza...
  4. Q

    Rais Samia awataka Wazanzibari kutunza Mila na Desturi zao. Wamaasai hawahusiki?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa jamii zinazoishi maeneo yenye vivutio vya Utalii, kuendeleza mila na desturi za maeneo hayo ili kulinda heshima ya mila hizo na kuendelea kuvutia utalii. Rais Samia ametoa wito huo leo, wakati akifunga mafunzo ya...
  5. K

    Wamaasai wanaporwa ardhi yao

    Ukifuatilia historia yao enzi ya mkoloni, ardhi yao ilipunguzwa kwa asilimia 60 kwa upande wa Kenya na Tanzania kupisha makazi ya kudumu na kilimo kwa wazungu na leo ni waarabu. Serikali hii ina mipango gani katika kuuza na kubinafsha rasimali na ardhi ya Tanganyika kwa kuingia mikataba ambayo...
  6. Bunge la Ulaya lapiga kura ya kutowaondoa wamaasai Ngorongoro

    Tangu mwaka 2022 serikali ya Tanzania imekuwa ikijaribu kuwahamisha kwa nguvu Wamasai wapatao 150,000 kutoka wilaya ya Ngorongoro, ikidai kwamba ongezeko lao linawaweka katika ushindani na wanyama pori; huku Wamasai wakidai kwamba kuwahamisha kunalenga kutoa nafasi kwa watalii, wanyama pori, na...
  7. Mgogoro wa wananchi na wafugaji wa Kimasai utafutiwe suluhu

    Huko Morogoro umetokea mgogoro kati ya wananchi na wamaasai, chanzo cha mgogoro ni wamaasai walipeleka ng'ombe wao mtoni kunywa maji. Maji ya mto husika hutumiwa kwa matumizi ya kila siku majumbani na wakazi wa eneo hilo, ipo sheria inayokataza mifugo kupelekwa ndani ya mto kunywa maji ili...
  8. Serikali ilikua sahihi kuhamisha Wamaasai

    Mahakama ya Afrika Mashariki imesema uamuzi iliyochukuliwa na serikali ya Tanzania wa kuzingira ardhi kwa ajili ya ulinzi wa wanyamapori na kuwaondoa Wamasai ulikua wa kisheria. Dhumuni la serikali ni kulinda eneo la hifadhi lenye kilomita za mraba 1,500 ili kuepuka shughuli za binadamu uamuzi...
  9. Hata Simba wakizidi Mbugani hupunguzwa, Wamaasai wa Ngorongoro wapunguzwe na iundwe sheria

    Kwema Wakuu! Mimi sina mengi ya kuzungumza. Nilikuwa naishauri serikali, iweke utaratibu muhimu na wakudumu. Iunde sheria ya idadi ya watu wanaotakiwa kuishi hifadhi ya Ngorongoro kulingana na Ecosystem ya pale. Kisha idadi inayozidi wawe wanahamishwa. Maasai ni Watanzania wenzatu hivyo...
  10. D

    Kili na Neema, Wamaasai wanaotengeneza umashuhuri kwa kasi sana Ulimwenguni

    Wamaasai wanaotengeneza umashuhuri kwa kasi sana Ulimwenguni, lakini hapa Bongo kama watu hawana habari nao kabisa, Wanaweza kutoboa kimaisha mambo yakiendelea kama yalivo, ila huyu kijana wakiume mda mwengine kwenye hizi interviews namuhisi kama ameanza majivuno, kwa kweli bado ni mapema sana...
  11. Wamaasai wasikitishwa na mavazi aliyovaa Diamond

    WAMASAAI WAMESEMA MAVAZI ALIYOVAA *DIAMOND KATIKA TUZO HUKO BET NI MAVAZI YA KIKE Urembo aliovaa shingoni kuanzia alioubana na ulioning'inia ni mavazi ya wanawake wanaovuka rika. Pia nguo aliyovaa ni yakike na haivaliwagi kama khanga au taulo kama umetoka kuoga. Kitu pekee alichobeba cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…