Baada ya mvutano wa siku mbili hatimaye usafiri wa Daladala Mkoani Arusha umerejea kama kawaida leo Jumatano Agosti 16, 2023.
Afisa Mfawidhi wa LATRA, Joseph Michael amesema “Kilichozingatiwa ni Sera, tumewapangia vituo vipya watu wa Bajaj, tunawaondoa mjini kuwapeleka pembeni na wamekubali...