wamama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N'yadikwa

    Kwanini ukienda hospitali idadi kubwa ya wanaotibiwa ni wanawake?

    Nipo Muhimbili hapa...idadi kubwa ya wagonjwa na wapendwa wao ni wamama ... ni kwamba men hawaumwi!? No wonder men ndo sababu tunakufa fasta hatuna muda wa kupokea tiba
  2. J

    Hayati Magufuli aliwahi kumjibu mama mmoja "unataka upanuliwe wapi?" mbele ya kamera

    https://youtu.be/LGCNOc6eG_w?si=gbdLTmuHV9065Hfm Nakumbuka Magufuli aliwahi kuongea matusi ya ajabu kwenye Tv nikiwa naamgalia Tv na wanangu hadi nikakosa pozi Alikuwa kwenye ziara na wananchi waliomba kupanuliwa kwa barabara, bahati mbaya au nzuri ni mama ndiye aliyefikisha ombi hilo, basi...
  3. Yoda

    Mama Erick Kabendera ni aina ya wamama adimu sana, wanawake wenye maono makubwa

    Erick Kabendera anasema mama yake alikuwa mwalimu wa enzi za ukoloni na ndiye aliyemfundisha yeye na kumpa ujuzi mwingi wa Kingereza, Historia na Uandishi. Anasema nyumbani kwao kulikuwa na maktaba kubwa ambapo walikuwa wanasoma vitabu vingi sana pamoja na mama yake. Kabendera anasema hata...
  4. Mwachiluwi

    Wamama badirikeni kidogo

    Ipo hivi nina dada yangu ambaye ni mjane mumewe alikufaga 2010 akamuachia watoto wawili wadogo sasa hawa watoto kwao waligawana kumsaidia mama kulea watoto mmoja alimchukua shemeji yake mdogo mwingine akachukuliwa na shemeji yake mkubwa huyu mmoja anaitwa E ndio mkubwa na wa pili J Sasa huyu J...
  5. Makonde plateu

    Wamama wa kichaga na hongereeni kwa kunipa huyu binti daah! Wakuu nafwaa kwa mapenzi haya ya kichaga

    Wa mama wa kichaga ahsanteni sana kwa kuniletea huyu binti binti mushi daa wazee sikuwahi kujua kwamba wanawake wa kichaga Wanajali na kuwathamini waume zao hivi aisee wakuu nafwa kwa mapenzi ooh yeah binti ananipa kila kitu pesa,nguo na mapenzi wakuu mimi mtoto wa kimakonde nitake nini? Sasa...
  6. M

    Tumsapoti Rais Wa IPU, washangiliaji kama King musukuma na wale wamama wa vigelegele waende wakafanye kazi yao kama wanavofanya Dodoma

    Kama nchi tushikamane kwa wakati huu, kazi ya wale wabunge wetu ya kushangilia na kupiga meza inatakiwa wawepo kule IPU. Kwanza wangeenda wamama wale wanaopigaga vigelegele kwa kila kitu wale waliouliza maswali ya Ukraine wangeipata fresh yao. Wapelekwe na wale wabunge kama king wanaosemaga...
  7. Gulugujatza

    Naomba niongee na nyinyi wamama mnaotumia watoto kama tiketi ya kutoka nyumbani

    Naomba NIONGEE hili jambo moja kwa moja hata kama sijatoa salamu.. Eeeenyiiii wazazi wa kike Kuna baadhi yenu mnapenda sana kuondoka/kutoka majumbani kwenu huku umebeba mtoto mgongoni au kumshika mkono ukiamini kwamba hata mzee akirudi nyumbani akiambiwa mama flani katoka na mtoto kunakuwa...
  8. BLACK MOVEMENT

    Mjamzito afariki kwa kukosa pesa ya mafuta gari la wagonjwa, wakati Mama ananunua magoli

    Wakati anaupiga mwingi, kwa kununua magoli ya Yanga na Simba kuna watu wana safa sana kwa huduma za afya. Kule Kilosa Mama kafariki kwa kukosa pesa za mafuta ya Gari ya kubebea wagonjwa. Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka ametoa siku tatu vyombo vya usalama kuchunguza...
  9. Mshana Jr

    Mwangwi mkubwa; Vita ya mabinti na wamama (mashangazi)

    Kama kuna watani wa jadi wengine wasiotajwa sana basi ni hizi mbari mbili Mabinti under 25 Wamama( mashangazi) over 40 Kesi ya binti under 18 aliyebakwa na kulawitiwa na vijana under 30 Refer ule Mziki wa bongo fleva uliokuwa unaimba wakati wa kurekodi lile tukio.. 'Mwana kayataka' Mtaani...
  10. God Fearing Person

    Kizazi cha 1990s ndo kizazi cha dhahabu cha watu wanaojitambua

    Hiki ndo kizazi bora na ambacho kipo logically . Ndo waasisi Wa kataa ndoa crew Wanazaa kwa mpango Wapo logically Wapo na mental well being. Be blessed , Golden generation.
  11. matunduizi

    Kwanini wamama wa siku hizi wamepoteza utisho wa kianamke

    Wamama wa miaka ya 90 kurudi nyuma walikuwa vyuma kwelikweli. Walikuwa na uwezo wa kukuchapa na kukunyoosha kwa macho tu. Nakumbuka siku nilipotoroka nyumbani kwenda na magenge ya watoto mitaani kutembea. Bahati mbaya nikakutana naye amekaa katikati ya kundi la kinamama kuna jicho alinikata...
  12. Moto wa volcano

    Wamama wananguvu kubwa ya ushawishi kwa watoto, kuwa makini kama umezaa na mwanamke ambaye hauishinaye

    Kwa wewe ambaye umezaa na wanawake/ mwanamke ambaye hauishinaye inakupaswa ufahamu wamama wananguvu kubwa ya ushawishi kwa watoto kuliko wababa. Kama hauna maelewano mazuri na huyo mwanamke uliyezaanaye usitegemee watoto watakuja kukutambua. Nafahamu sio wababa wote ambao hawatoi huduma...
  13. Mjanja M1

    Video: Wamama wa Kiafrika huwa hawapendi mzaha mzaha!

  14. G

    Kinamama waache kuendekeza kisingizio cha "Baba yako alitutelekeza", si kila baba alitelekeza mtoto

    1. Mwanamke kapigwa mimba na mwanaume X anaenda kumtegeshea mimba Mwanaume Y, hapo unakuta Mwanaume Y kategeshewa sababu anajiweza kiuchumi, Mwanaume Y anakuja kugundua mchezo anaachana na mwanamke aliebeba mtoto ambae si wake, wala sio kutelekeza mtoto, ajabu ni kwamba mama anaona aibu...
  15. M

    Ifike kipindi mabinti na wamama mpunguze ubinafsi, tumewachoka

    Poleni na majukum watanzania wenzangu, Natumai wote tuko poa na tunaendelea kulisukuma hili gurudum la maisha ya kila siku. Leo nimeona niwape makavu yao baadhi ya mabinti na wamama ambao wana tabia za kibinafsi tena ubinafsi wa maisha. Yaani unakuta Mtu mwenye jinsia ya kike, akizaliwa...
  16. Abu Ubaidah Commando

    Kwa hiki wanachokifanya Israel dhidi ya watoto, wamama na wazee 👇

    Kwa hiki kinachoendelea kwa Wazayuni laanatullah alayhim dhidi ya ndugu zetu Palestina, je! Nitaachaje kuungana na Freedom Fighters/Hamas na kuwauwa hao makafiri wa kizayuni! Nitaachaje kupigania uhuru wa nchi yangu dhidi ya makafiri hao!! Ewe Mwenyezi Mungu, wanusuru hawa ndugu zetu wa...
  17. Restless Hustler

    Wanaouza mihogo wanajiita wajarisiamali

    Tafsiri ya neno ujasiriamali ni kitendo Cha kuumiza akili(brainstorming) na kubuni jambo ambalo halijawahi kuwepo kwa lengo la kuisaidia jamii. Mfano wa ujasiriamali ni kama vile ugunduzi za engine, kompyuta na n.k. Sasa sikuhizi unakutana na mama muuza mihogo ya kukaangwa au mchicha anajiita...
  18. Crocodiletooth

    Dkt. Ananilea Nkya: IGP kusema Rais atapinduliwa ni kutweza utu wa Rais, kuonesha jeshi limeshindwa kumlinda

    Ipo script inazunguka mitandaoni inayojaribu kuonyesha waliokamatwa hawana tuhuma zenye kuhatarisha usalama wa serekali yetu. Nimeshindwa kuwaelewa zaidi pale wanapoona mtu / watu wanakamatwa kwa kauli zenye utata na hatari kwa taifa letu, Wao kazi yao huwa ni kukemea vikali waachiwe...
  19. Clepatina

    Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shaloom, Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa. Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
Back
Top Bottom