Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini Godbless amesema "ameona juzi kuna mbunge ndani ya Bunge ametaka Bunge lijadili masuala ya watu kupotea na kutekwa, spika anazuia mjadala wa watu kutekwa, lile halina uhalisia wa bunge.
Huwezi kuwa na bunge ambalo...
Hii nchi tuko hapa tulipo kwa kukosa maono, nchi inaendeshwa kihuni sana.
Ukiangalia swala la Ngorongoro ni uhini mtupu pale.
Unawafukuza wamasai wenye nyumba za majani unaruhus7 wawekezaji kujenga Mahoteli ya gorofa pale.
Wanabodi,
Nikiwa member wa TLS, nimefarijika na taarifa hii ya TLS.
Tunaipongeza Serikali kwa kuchukua hatua za awali kwa kutuma mawaziri waandamizi na kuzungumza na wananchi pamoja na tamko lake kupitia maelezo ya Mawaziri husika la kurejeshwa kwa huduma za kijamii zilizositishwa katika eneo...
Katika jambo la kustaajabisha kabisa ni tukio la wamasai waliohamishwa kutoka Ngorongoro na kupelekwa kule Handeni, Tanga eneo la Msomera wameonekana pia Ngorongoro wakati huu wa sakata la wamasai kuungana kudai haki ya kuendelea kuishi Ngorongoro.
Tulielezwa kuwa wakati wa zoezi la kuhamia...
Bila shaka ilikuwa katika kuitumia falsafa ya Mandela:
"If you talk to a man in a language he understands, that goes to his head. If you talk to him in his own language, that goes to his heart." -- Nelson Mandela.
Asijue kumbe kama nyati waliojeruhiwa, wamasai walikuwa hawana cha mswalia...
Ni vizuri kwamba CCM inakusudia kuandaa mandamano ya amani kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutatua mgogoro katika kata 11 za Tarafa ya Ngongoro.
Hii inaonyesha kuwa CCM inaufuatilia kwa makini suala hili na inatambua umuhimu wa kuleta amani na utangamano kwa wananchi.
Ni maarufu...
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro.
Hayo yamesemwa leo Ijumaa Agosti 23, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi akizungumza na wananchi wa kata...
Wadau hamjamboni nyote?
Hatimaye Mawaziri Vigogo ya Serikali ya Rais Samia ambao ni Profesa Kabudi, William Lukuvi na Kamishna wa mafunzo Jeshi la polisi Awadhi wakutana na Paul Makonda na kufanya kikao kizito na Kamati ya Usalama ya Mkoa Arusha.
Waziri wa Katiba na Sheria Profesa...
Kwamba, kwa kuwa Dr. Sulle kagundua kuwa Wamasai walioandamana Ngorongoro si Watanzania bali ni Wakenya wenye nia mbaya dhidi ya Tanganyika, inaonesha ya kwamba yeye yupo makini zaidi kuzidi vyombo vyetu vya dola.
Kama ndivyo, ni vizuri akakabidhiwa Wizara ya Mambo ya Ndani pamoja na ukuu wa...
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imesimamisha utekelezaji wa amri iliyokuwa imetolewa na Serikali kupitia tangazo la Serikali namba 673 ya 2024 la kufuta vijiji, kata na vitongoji pamoja na kusitisha tangazo la kuwataka Wananchi kuhama katika Wilaya la Ngorongoro.
Umuamuzi huo umetolewa leo August...
Wakazi wa kimaasai walilivamia hilo eneo la KRETA na kuwafukuza wakazi wake ambao ni WAMBULU na WADATOOGA.
Kadhia ya Ngorongoro haihitaji HISIA bali utulivu wa FIKRA TUNDUIZI.
Ndugu zetu wamaasai hawakuwa wa kwanza kuishi hapo katika ardhi tukufu ya nabii Adam(AS).
Makabila mengi yalipita...
Kutoka kwenye mtandao wa X(tweeter), kaandika,
Samia alisema Wamaasai wa Ngorongoro waondoke kwao kwa hiari. Baadae akawafutia elimu, afya & maji. Halafu Tume ya Uchaguzi ikawafutia haki za kupiga kura. Sasa mkwe wake amefuta vijiji & kata zao. Samia amevunja Sheria & Katiba. Tupinge azma yake...
AMRI YA MAREKEBISHO YA AMRI YA MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA KATIKA SERIKALI ZA MITAA (MAMLAKA ZA WILAYA) YA MWAKA 2024
1. Amri hii itajulikana kama Amri ya Marekebisho ya Amri ya Mgawanyo wa Maeneo ya Utawala katika Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) ya Mwaka 2024 na itasomwa pamoja na Amri...
Baada ya kupiga kura za kuchagua viongozi wa TLS, Mhe. Tundu Lissu alitoa hoja inayohusu uandikishaji wa daftari la wapiga kura kwa wananchi wa Ngorongoro.
Lissu amesema kwamba zaidi ya watu laki 1 wa Jimbo hilo wako mbioni kupoteza haki yao ya kupiga kura, kwa sababu Sheria za uchaguzi...
Nimekutana na chapisho la DW kuhusu kuhamisha wamasai Ngorongoro ambapo Serikali ya Samia inasema ni kwa ajili ya uhifadhi ila ukweli ni kwa ajili ya kuwapatia wawekezajia ambapo tiyali eneo moja wapo walipo furushwa wamsai wamepewa Wachina na eneo jingine ni Waarabu na kuna pia mpango wa...
Ni muda muafaka wa kumpongeza Rais Samia kwa kuwahamisha Wamasai na wakazi wengine ndani ya hifadhi ya Ngorongoro kulingana na maamuzi kama hayo yaliyowahi kufanyika Canada na Marekani.
Tarehe 20 ya mwezi wa 7 kila mwaka nchini Canada wanasherehea ' National Park Day" sherehe ambayo Wacanada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.