Siku tano zikizopita Rais wa Tsnzania alituma wasaidizi wake ambao ni Prof. Kabudi na William Lukuvi kwenda kusawazisha mambo kule Ngorongoro.
Aliagiza kurejeshwa kwa huduma zote za kibinadamu hususan haki ya kupiga kura, afya na elimu vitu ambavyo vilikuwa vimesitishwa chini ya mtutu wa...
Wanabodi,
Nikiwa member wa TLS, nimefarijika na taarifa hii ya TLS.
Tunaipongeza Serikali kwa kuchukua hatua za awali kwa kutuma mawaziri waandamizi na kuzungumza na wananchi pamoja na tamko lake kupitia maelezo ya Mawaziri husika la kurejeshwa kwa huduma za kijamii zilizositishwa katika eneo...
Kwamba, kwa kuwa Dr. Sulle kagundua kuwa Wamasai walioandamana Ngorongoro si Watanzania bali ni Wakenya wenye nia mbaya dhidi ya Tanganyika, inaonesha ya kwamba yeye yupo makini zaidi kuzidi vyombo vyetu vya dola.
Kama ndivyo, ni vizuri akakabidhiwa Wizara ya Mambo ya Ndani pamoja na ukuu wa...
Wakazi wa kimaasai walilivamia hilo eneo la KRETA na kuwafukuza wakazi wake ambao ni WAMBULU na WADATOOGA.
Kadhia ya Ngorongoro haihitaji HISIA bali utulivu wa FIKRA TUNDUIZI.
Ndugu zetu wamaasai hawakuwa wa kwanza kuishi hapo katika ardhi tukufu ya nabii Adam(AS).
Makabila mengi yalipita...
MSOMERA PAMENOGA, WAMASAI WAENDELEA KUISHUKURU SERIKALI
Jamii ya wamasai waliohama Ngorongoro wafurahia Maisha ya Msomera.
Wakazi waliohama kwa hiari yao kutoka katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kuhamia kijiji cha Msomera, Handeni mkoani Tanga wanaendelea na shughuli zao za kawaida ikiwemo...
Asalam, pamoja na kuamua kuweka bandiko hili, lakini nimeshuhudia uchache ama kupotea kwa haraka bandiko lolote lenye neo "masai". Lkn huenda hili likabaki.
Ngongoro kama zilivyohifadhi nyingine Tz imekuwepo kwa miaka mingi japo ina utofauti na nyingine. Pale wanyama mwitu, wanyama wa kufugwa...
Mgogoro wa Hifadhi ya Ngorongoro kuhusu wakazi wanaoishi ndani ya eneo hilo umekuwepo kwa miaka mingi, kwa muda wote huo hakuna utatuzi rasmi wa nini kinatakiwa kifanyike.
Juzikati baada ya bwana Maulidi Kitenge na wenzake kutembelea hifadhi hiyo, alitoa ushauri wa Serikali kufanya mpango wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.