wamefanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    Simba wamefanya rotation ya wachezaji 6, na hakuna aliyelalamika

    Wachambuzi uchwara na mashabiki wa Simba walilamika ati Singida walipanga matokeo na wachambuzi wakaenda mbali ati TAKUKURU waingilie kati Jana wachambuzi wakaja juu eti Yanga wamefanya rotation ya wachezaji kwakuwa ana uhakika wa kushinda Kwa kuwa GSM ni mdhamini wa Pamba Jiji. Soma Pia: FT |...
  2. R

    Limenijia tu kichwani, waliomuua Mzee Kibao wamefanya dhambi kubwa sana!Hamtakuwa salama milele,

    Hamtakaa muwe salama ndani ya mioyo yenu. Na kumbuka THE EVILS THAT MEN DO LIVE AFTER THEM! by Marc Antony
  3. Mi mi

    Hawa watu wanastahili wamefanya kazi kubwa na ngumu kweli kweli

    Hawa watu wameacha alama isiyofutika katika mataifa yao. Maana kazi waliyofanya ilikuwa ngumu na kubwa haswa. Vita ya kupambana dhidi ya umasikini ni vita ngumu inahitaji viongozi wenye akili ya kuwaonea huruma watu wake na kuwatoa walipo pasipo kujali njia gani kutumika bali matokeo ya njia...
  4. Msitari wa pambizo

    Clouds Media katika mahojiano yake na Israel Mbonyi wamefanya vitu unprofessional, unethical na vitu vya kijinga na kuliabisha taifa

    Leo katika mahojiano yao na mwimbaji wa injili kutoka Rwanda Israel Mbonyi kuna mtangazaji ( Nadhani ni Sudi Brown) wakati Israel akijibu swali kuhusu kama ana mahusiano ama la (japo nalo sikuona kama ni swali la msingi) baada ya Israel kujibu kwamba hana mke ndipo Sudi akachomokea kwamba...
  5. THE FIRST BORN

    Press ya Wazee wa Simba Imeniumiza sana kama Taifa tuna safari ndefu

    Habari kiukweli tuna safari ndefu kama Taifa. Juzijuzi yameitishwa Maandamano hakuna alietokeo Maandamano ambayo Lengo kubwa lilikua ustawi wa watu ambao ni Watanzania. Leo hii Team imefungwa imeitisha press na inatoa Tamko😂😂 wakaongeza Kuna watu walikua wamekasirika wanataka kuandamana kisa...
  6. matunduizi

    Haki kisha kabla mtoto wako hajafika chuo wamefanya hili

    Hakikisha Angalau amesafiri nje ya nchi Angalau nchi mbili. Elimu matembezi ( exposure) ndio elimu kubwa kuliko elimu ya chuo. Vyuo sasa ni vyanzo vya mapato vya wamiliki sio vyanzo vya elimu. Ndio maana bado shahada na stashshada za elimu Zina Endelea kutolewa wakati kunamafuriko ya walimu...
  7. Mhafidhina07

    Je Yanga inaweza kushitakiwa na mahakama ikiwa itathibitika kuwa wamefanya udanganyika dhidi ya mahakama?

    jana kuna taarifa zimesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii ikimuhusisha kiongozi wa klabu enginer hersi said wa yanga dhidi ya uamuzi wa mahakama ya kisutu,uamuzi huo umeibua taharuki kwa viongozi,mashabiki na wanachama mpaka kupelekea sitonfahamu na mashambulizi kwa mzee magoma kutishiwa...
  8. Aramun

    Dkt. Bagonza: Kama kila kitu amefanya Rais, wakija kwenye kampeni waulizeni wao wamefanya nini?

    Naunga mkono hoja, Dkt. Benson Bagonza ana hoja nzito, asikilizwe.
  9. G

    Kutengeneza Dola mtandaoni: Ni kweli kuna Watanzania wanapiga kazi zenye mkwanja online na wamefanya ziwe ajira rasmi?

    Hapa sizungumzi kazi za kijanja janja unaotea kwa muda mchache unapiga dola kadhaa alafu baada ya hapo mchongo unakuwa ushachuja unaanza upya kujitafuta kwengine, nazungumzia kazi iwe ya uhakika kiasi kwamba kuna watu wamezigeuza ziwe ajira rasmi wanazifanya hata kwa miaka mitatu +. kazi ziwe...
  10. Jackal

    Israel katika mazungumzo na Kongo na nchi nyingine kuhusu mpango wa 'uhamiaji wa hiari' wa Gaza

    Makazi mapya ya "hiari" ya Wapalestina kutoka Gaza polepole yanakuwa sera rasmi ya serikali, huku afisa mkuu akisema kuwa Israel imefanya mazungumzo na nchi kadhaa kwa ajili ya kufyonzwa kwao. Zman Israel, gazeti la The Times of Israel ambalo ni dada wa Kiebrania, limegundua kuwa muungano wa...
  11. sinza pazuri

    P Funk na Seven Mosha wamefanya kamati ya tuzo za TMA kuwa batili. Waondolewe au tuzo zitakosa maana

    Seven Mosha na P Funk wanaondoa uhalali wa kamati ya kusimamia tuzo za TMA Tanzania Music Awards. Sababu kubwa wana maslahi binafsi na kitu kinachoenda kukisimamia au tuseme conflict of interest. P Funk ni msanii, anasimamia wasanii wanaoenda kushindana pia ana upande wa muziki anaupiga vita...
  12. GENTAMYCINE

    Ihefu FC wamefanya kosa gani kwa kuwafunga Yanga SC hadi walaaniwe na wakamiwe kushushwa daraja?

    Msifungwe nyie nani? Wapuuzi wakubwa. Inafungwa Simba SC inayowazudi Kimafanikio kwa Kimataifa, inafungwa Real Madrid FC na hata PSG FC sembuse nyie Washamba ( Wagaigai ) tukuka wa Jangwani na Kigamboni? Sasa kwa taarifa yenu Ihefu FC ipo pamoja na Mwenyezi Mungu, itakuwepo na atailinda dhidi...
  13. Lexus SUV

    Waarabu wajanja sana walishapiga hesabu kuwa mafuta yana mwisho wa kuchimba

    Then baada ya mwisho wa kuchimba deposits za mafuta, zitakuwa zimeisha sasa wanatengeneza mikataba ya kilaghai ili ku meet future economic demands maeneo mbali mbali ili kupata future ecomonic sources of income hapo baadae when oil deposits runs out aisee.
  14. Clepatina

    Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shaloom, Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa. Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
  15. Allen Kilewella

    Simba ndiyo wamefanya Dejan Thamani yake iwe milioni 700?

    Nilikuwa naangalia thamani ya wachezaji walio huru kwenye mtandao wa "Transfermarkt" na kukuta kuwa mchezaji wa zamani wa Simba Dejan Georgijevic kwa sasa thamani yake ni Kati ya shilingi za kitanzania milioni 700 hadi bilioni moja na milioni mia nne. Kwanza nilishangaa imekuwaje mchezaji...
  16. OKW BOBAN SUNZU

    Wakili Msomi: Yanga wamefanya uzembe kwa Feisal

    Wakili na mwanamichezo mzoefu nchini, Aloyce Komba ametoa ufafanuzi juu ya dili la Fei Toto kutua Azam akisema: . “Yanga wamefanya uzembe wenyewe na wasije wakathubutu kukimbilia Fifa kama walivyofanya kwa Bernard Morrison itakula kwao. Waangalie vizuri mkataba wa mchezaji unaeleza nini...
  17. Mtini

    Nabi na Yanga wamefanya wameleta mtazamo tofauti na uliozeleka africa

    Moja ni kitu kinachoboa katika timu za africa ni kukomaa na ushindi wa nyumbani pekee. Africa imekuwa na utamaduni huu kwa muda mrefu sana, silaha ya timu za Africa ni ushindi wa nyumbani tofauti na timu za ulaya. Kanuni ya africa ni ugenini paki basi, komaa nyumbani. Kitendo cha Yanga...
  18. H

    Gael Birigimana ni usajili mzuri Sana Yanga wamefanya

    Jana uongozi wa Yanga wamemtambulisha mchezaji aliwahi kuichezea newcastle united Gael Birigimana. Tangu atambulishwe kijana huyu kuna maneno mengi yamekuwa yakizungumzwa ikiwemo Takwimu zake mashabiki Watanzania wanaonesha wanapenda soka ila hawalijui soka Gael Birigimana ni kiungo mkabaji sio...
  19. JanguKamaJangu

    Mgogoro NCCR Mageuzi: Timu Mbatia wachukua ofisi, wasema umefanyika uhaini ndani ya chama, Mbatia bado ni mwenyekiti

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa NCCR-Mageuzi, Edward Simbeye amezungumza na waandishi wa habari leo Mei 21, 2022 na kudai kuwa kilichofanywa na kundi lililojipa sura ya Halmashauri Kuu ndani ya chama hicho mapema leo ni uhaini. Awali ilitolewa taarifa kuwa Halmashauri Kuu ya Chama cha...
  20. J

    Ule ujinga waliofanya Senegal kwa Egypt, Simba nao wamefanya

    Ni ujinga wa kumulika wachezaji wa timu pinzani na tochi usoni, sijui soka la Afrika linaelekea wapi.. Timu haziwezi kushinda bila figisu?
Back
Top Bottom