Tupo hapa faya tunasubiri gari ya mwendokasi ya kwenda feri zaidi ya nusu saa zinapita tupu out of service yaani tumekaa sasa sijui ndio utaratibu huu wengine wageni
Moshi Urban Water Supply and Sanitation Authority (MUWSA) imejikita katika masuala ya huduma za maji na usafi, lakini kuna maswali mengi yanayojitokeza kuhusu uamuzi wao wa kuwafungia wateja wa mita za maji za awali (pre-paid meters).
Katika kipindi hiki, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa...
Nina kuku wa mayai zaidi ya 1,000 wanakwenda wiki ya 19 lakini wamegoma kudondosha yai. Licha ya kununua chakula cha kiwandani kuanzia Wana siku ya kwanza mpaka leo.
Lakini pia uzito wao walionao ni uzito stahiki kulingana na umri wao.
Naanza kupata stress maana wanatetea tu tangu week ya 16...
#Lebanon’s Prime Minister Najib Mikati has criticised #Israel’s “expansion” of its attacks on his country, saying it indicates the Israeli rejection of a ceasefire after more than a month of war.
.
“[Israel’s] repeated threats to the population to evacuate entire cities and villages, and its...
Leo nilikuwa natizama kipindi cha "funguka" kwenye channel ya east Africa Tv almaarufu kama channel 5, mada ili yokuwa ikijadiliwa kwanini vijana hawaowi au kuolewa,?,
Kwa upande wa wanawake wao walitoa maoni yao kwa wingi kuwa vijana wa kiume wanaogopa majukumu, Na vijana wa kiume walikomaa Na...
Hivi ndivyo ilivyo katika Kata ya Olasiti pande za Chuga, jamaa ameshea video akionesha mwitikio ni mdogo sana, Wananchi wanajitokeza kwa uchache sana kujiandikisha.
Ndugu zangu kwani shida ni nini?
Hali ya uandikishaji wenye Daftari la Kupiga Kura kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mtaa siyo rafiki, imefikia hatua baadhi ya Waandikishaji wameamua kuingia mtaani kuwatafuta Wananchi ili wajiandikishe.
Hapa Dodoma nimeshuhudia hali hiyo ikijitokeza kwenye Mitaa ya Chinangali West na Nkuhungu...
Ninesomea Ualimu Shule za msingi nakuhitimu 2019. Nimesoma kujiandaa na usahili mpaka nimesahau Mwezi uliopita nilisoma nini. Imegeuka adhabu utumishi kama hamkuwa mmejiandaa mngeacha tuu.nilijua usahili ungekuwa Mwezi uliopita September ndîo mahana nikajaza Dodoma kwani ndîo nilipo. Wiki ijayo...
Japokuwa Mangwea hakuwa mfanyakazi wa Clouds lakini mwamba alipoondoka clouds walijitahidi sana kumuenzi. Ngoma za mwamba zilipigwa siku nzima.
Hapo hatujaongelea mtu kama Ruge, wakina Kibonde na Gardner.
Huku Wasafi chini ya meneja vipindi wao baba Levo wako wako tu. Kuanzia usiku, asbuhi...
Friends and our enemies,
'Anyone can become angry - that is easy.But to be angry with the right person,to the right degree,at the right time,for the right purpose,and in the right way - this is not easy.(ARISTOTLE,The Nicomachean Ethics).
'How you do anything,is how you do everything'...(Dante...
Sasa nami GENTAMYCINE nawaambieni hapa hapa (tena leo hii) kuwa Simba SC Kesho hatufungwi na Prisons FC hivyo tutawaacha kwa Alama (Points) Tatu (3) na najua Jumamosi mtawahonga Geita Gold FC ili mshinde (tena Goli nyingi) ili Kuwatuliza Mashabiki wenu na Sisi Simba SC kwa makusudi tutatoka Sare...
Mwitikio wa wananchi kwenye uzinduzi wa Ubunge jimbo la Mbarali ni ishara kwamba hali si shwari majimboni kisiasa:
Pamoja na Mhe. Waziri Mkuu mstaafu kushiriki katika uzinduzi huo na wananchi kuombwa kushiriki mwitikio ni mdogo jambo linalopelekea kamati ya siasa ya jimbo kukaa leo kwa ajili...
Sisi Wafanyakazi tunaofanya kazi katika Mradi wa SGR Kituo cha Itigi Rot 2 Camp, Kampuni ya Yap Merkez ambao tunatengeneza Kilometa 150 tumeamua kuingia katika mgomo huo kutokana na maslahi duni hasa kwa wazawa.
Mgomo huo ulianza kwa walioingia usiku wa jana tarehe 6 mwezi wanne 2023 na sisi...
Anonymous
Thread
duni
kazi
kufanya
kufanya kazi
maslahi
sgr
vibarua
wamegoma
wazawa
Tamko hilo linakuja zikisalia saa chache kufika saa 12 jioni ya leo Nov 25, 2022, muda ambao viongozi wa eneo la Kikanda walitoa kwa Waasi hao kusitisha mapigano au wakabiliane na majeshi ya kulinda amani.
Msemaji wa M23 Canisius Munyarugerero amesema kundi hilo linapuuza maamuzi yaliyofanyika...
Chama cha Umoja Party ambacho ndio kilikuwa chama cha kutetea legecy ya Jemedari Hayati Magufuli kimekataliwa kupewa usajili licha ya kuwa na vigezo vyote
Ni dhahiri serikali ya sasa inaogopa nguvu ambayo chama hiki kingekuwa nayo na kingeitoa CCM madarakani
Sasa kwa kuwa chama cha TLP...
Serikali inafanya kazi yake, watendaji wanatushangaza Sana. Alianza Mh Rais akasema waache. Wakavamia kunduchi. Lahaullah! Mkuu wa mkoa ametangaza jeshi la police likawataka wakuu wa vituo na wananchi washirikiane, Cha ajabu Kuna mitaa imekaa kimya.
Kwa mtaa nilipo mie hata wakija Leo...
Sijawahi kuona hii foleni ya kutoka vingunguti hadi Banana cha ajabu sijamuona hata trafic mmoja akiongoza magari hata kwenye mataa hakuna trafic yoyote.
Magari yamefungana wala hayendi kabisa,yaani hayaendi popote.
Nadhani leo tutakesha hapa barabarani.
Leo mshauri mkuu wa afya wa Serikali ya Marekani Dr. Antony Fauci amesema hawafikirii kwenda lockdown nyingine lakini Marekani ijiandae kwa mambo mabaya zaidi kwa sababu ya watu Milioni 100 ambao hawataki chanjo.
Fauci anasema itumike kila mbinu ya kuwashawishi, kuwaomba ili wabadili mawazo...
Wahamiaji watokao Chadema kwenda CCM sasa wana slogan nyingine, hawasemi wanaunga juhudi bali " Wanarudi nyumbani kwa Mama"
Chadema wasipokaa sawa mama atasepa na kijiji kwa sababu kuna maelfu wamegoma kumwimbia bwana ugenini na sasa wako njiani kurudi nyumbani.
Pale juu anaweza kubaki Mbowe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.