Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, kupitia ukurasa wake wa X, ameeleza kuwa viongozi wa CHADEMA katika Jimbo la Arusha Mjini wamenyimwa viapo vya mawakala. Hali hii imeibua wasiwasi mkubwa, hasa ikizingatiwa kuwa kesho, Novemba 27, ni siku rasmi ya uchaguzi wa Serikali za...