Ukiangalia kwa jinsi mambo yanavyoenda utagundua walimu wamesusa. Wanasema kwa sasa wao wanasubiri tu mshahara uingie maisha yao yaendelee.
Wanasema Serikali haiwajali, Wazazi hawawajali wamekuwa wakiwakebehi na kuona wao ni watu waliochokwa na kila kitu.
Sasa wameamua nao kukaa pembeni...