Bado kidonda cha Kalyinda hakijapona kwa Watanzania wengi, Tayari kuna tetesi na dalili zote za kipigo kizito kwa Watanzania wengine waliojiunga kwenye mchongo Pacha wa Kalyinda uitwao Bestei.
Best Bei hii ilianza kutangazwa mara tuu Kalyinda ilipofungwa na walitoa mda kwa watu kukusanya hela...