wamuua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    TANZIA Wasiojulikana wamuua Isack Mallya na kumtupa nje ya nyumba yake

    Watu wasiojulikana wametekeleza tukio la mauaji kwa kumuua Isack Mallya (72) mkazi wa Kijiji cha Umbwe Onana, Kata ya Kibosho Magharibi mkoani Kilimanjaro na kisha kutelekeza mwili wake nje ya nyumba yake. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa...
  2. Mwanongwa

    Mbeya: Wanandoa Mbaroni Baada ya Kumshushia Kipigo Hadi Kifo Mtoto Wao wa Miaka Minne

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili ambao ni Ramadhan Tembo Mwakilasa [28] maarufu kama Rama Love ambaye pia ni Mwandishi na Mtangazaji pamoja na Mariamu Charles Mwashambwa [28] wote wakazi wa TEKU Viwandani Jijini Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya mtoto Chloy Ramadhan...
  3. MK254

    Watoto wanafunzi wa madrassa wamuua Imam aliyekua anawalawiti

    Jamaa alikua anatoa ilmu ya kurani huku akiwalawiti hao wavulana, wakaamua kuungana na kumpa madawa ya usingizi, alipolala wakamuua.....bora akapewe mabikira kule. ‘He was sexually abusing us’: 6 minor students of a madrasa arrested for murder of Maulana Mohammad Mahir, say they were fed up...
  4. BARD AI

    Ndugu wamuua dada yao wakigombea ardhi

    Wanaume wanne wamekamatwa kwa madai ya kumuua dada yao waliompiga hadi kumsababishia umauti kwa kile kinachodaiwa kuwa ni mgogoro wa ardhi waliokuwa nao kwa muda mrefu. Tukio hilo limetokea siku ya Jumamosi usiku, wilayani Rukiga nchini Uganda, tovuti ya Monitor ya Uganda imeripoti. Watuhumiwa...
  5. M

    Ruvuma: Wazazi wamuua mtoto wao ili wapate utajiri

    Baba wa kambo na mama mzazi wanashikiliwa na polisi Ruvuma kwa tuhuma za kumuua na kumfukia kwenye shimo la takataka mtoto wao wa miaka 6 aitwaye Paul Haule huku sababu zikiwa ni imani za kishirikina ambapo wamesema wamefanya mauaji hayo wakiwa na nia ya kupata utajiri. Tukio limetokea katika...
  6. M

    Kiteto: Wamuua bodaboda na kunyofoa viungo vya mwili

    Watatu wakazi wa Kiteto mkoani Manyara akiwemo mwalimu wa sekondari Lesoiti, wamefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya Kiteto, kwa tuhuma za kumuua dereva bodaboda na kunyofoa baadhi ya viungo vyake kwa imani za kishirikina. Watuhumiwa hao wamefikishwa mahakamani leo Novemba 28, 2022, baada ya...
  7. Idugunde

    Geita: Wamuua mama yao Kikongwe wa miaka 70 kisa tu wanataka urithi wa shamba

    Picha: Kamanda wa Polisi Mkoani Geita Henry Mwaibambe Kamanda wa Polisi Mkoani Geita Henry Mwaibambe amethibitisha tukio la Mwanamke mmoja mkazi wa kijiji na kata ya Nyaruyeye Wilayani Geita, Milembe Lutubija (70) kuuawa kwa kukatwa mapanga na watoto wake kwa madai ya watoto kuhitaji...
  8. Analogia Malenga

    Wanamgambo wa Somalia wamuua mbunge wa kike katika shambulio la bomu la kujitoa mhanga

    Takriban watu 15, akiwemo mbunge mwanamke wa bunge la shirikisho la Somalia, waliuawa katika milipuko miwili ya kujitoa mhanga katika mji wa Beledweyne katikati mwa Somalia. Waziri Mkuu Mohamed Hussein Roble ametaja kifo cha Amina Mohamed Abdi kama "mauaji". Rais wa Somalia Mohamed Abdullahi...
  9. Analogia Malenga

    Kigoma: Wamuua binti kwa kipigo wakimlazimisha kuolewa ili wapate ng'ombe

    JESHI la Polisi Mkoani Kigoma linawashikilia watu watatu akiwemo baba mzazi Kulwa Juakali (40) Mkazi wa kijijicha Lufubu wilayani Uvinza kwa tuhuma za kumpiga fimbo mtoto wake Mbaru Juakali (17) hadi kusababisha kifo huku chanzo cha tukio hilo kikidaiwa kuwa ni kumlazimisha mtoto huyo kuolewa...
  10. C

    Kenya: Walinzi wamuua Mwanafunzi wa kiume baada ya kumkuta bwenini kwa wanafunzi wa kike

    Walinzi watatu wa Shule ya upili ya Wasichana ya Komothai Nchini Kenya wamekamatwa kwa tuhuma za kumuua Mwanafunzi wa kiume wa Shule nyingine jirani ya Wavulana aliyekutwa kwenye Bweni la Wasichana la Shule hiyo saa kumi alfajiri wiki iliyopita. Taarifa ya leo imesema Walinzi hao Joseph Mutahi...
Back
Top Bottom