Nimewahi simuliwa na mtoto wa mama mdogo aliyewahi kufungwa jela.
Aliniambia yote yanayofanyika kule ufirauni na ubabe na kila kadhia aliyokutana nayo tangu day one hadi anatoka kule.
Huenda unajua kabisa kuna baadhi ya jamaa zetu wako kule wamefungwa isivyo halali either kwa kusingiziwa nk
na...
Duniani kila mtu anapata wa kufanana naye na huu msemo kwangu mimi naendelea kuushikiria vizuri sana.
Sasa leo tujifunze kitu kupitia simulizi nzuri sana ya wanandoa hawa wawili ambao wote ni vipofu lakini wameonyeshana upendo wa kweli na kazi wanayoifanya inafanan na wanafanya kwa juhudi zote...
Anahitaji ushauri, soma kisa chake hapo 👇
My wife is pregnant with another man's baby and now she wants to leave me.
For some background, I got married years ago and my wife and I were happy but issues started when several years passed and she was unable to get pregnant. We tried all we could...
Ugomvi ndani ya nyumba ya wanandoa huchukuliwa kama ni jambo la kawaida, Inasikitisha kusikia kwamba ukatili huu unachukuliwa kama jambo la kawaida katika jamii yetu. Watoto huona huu unyanyasaji na kuhishi pia ni jambo la kawaida mpaka wanapo kuwa na kupata ufahamu zaidi na hapo ndio kujua baba...
Kuanzia sasa (leo) GENTAMYCINE natangaza rasmi nikikuta ama Wanandoa au Wapenzi (ninaowajua) wanagombana hadharani tena huku Wameshikiana Silaha za HATARI nitakachokifanya ni Kuwasakizia zaidi ama Waumizane au hata Wasitishiane rasmi Pumzi zao na siyo Kuwaokoa na Kuwatatua.
Sijui kwanini Wema...
Ndoa ndoano ni msemo wa muda mrefu sana ukimaanisha kuwa wawili waingiapo kwenye ndoa hawawezi kuachana na wanapaswa kuvumiliana katika hali zote za shida na raha.Ni kama wavuvi wanavyovua Samaki na ndoano. Samaki akinasa kwenye ndoano basi hawezi kuchomoka.Dini zetu pia zinatuongoza kuwa wawili...
Japo sio wote ila wana ndoa wengi siku hizi wanaishi kama maadui tatizo ni nini lakini yaani. Kuna watu wapo ndani ya ndoa lakini wakiwa ndani hawaongeleshani
Kuna watu wapo ndani ya ndoa kila siku ugomvi vikao vya kifamilia vya usuluhishi haviiishi. Kuna watu wapo ndani ya ndoa wanaona bora...
Faida za kujamiiana
1.Kuwa na mpenzi ambaye ni rafiki yako ni jambo zuri sana katika mahusiano. Kuwa katika mahusiano pasipo kufanya mapenzi na mwenza wako ni kama tu kuwa na rafiki yako. Mahusiano hujawa na uchu, wapenzi hutaka furaha na kuridhika. hivyo kufanya mapenzi na mwenza wako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.