Nilienda bank ya nmb kwa lengo la kupata huduma flani ya kifedha. Kwenye ATM pale nikaona msururu wa watu wamejipanga kutaka kutoa pesa.nikadodosa nikaambiwa wengi wao ni walimu mishahara imetoka, nikafanya utafiti wa tofauti ya kutoa pesa kwenye ATM na kwa wakala ni how much nikaona tofauti ni...
Ifike mahali sasa OR-TAMISEMI wapunguziwe majukumu. Kwa kiasi fulani nadhani nao ni sehemu ya kuharibu ubora wa elimu nchini. Najua TAMISEMI wanahusika na TSC, TARURA, DART, Afya, Elimu, etc yani kwa ufupi ni kama wapo kila kona, pamoja na hayo eneo ambalo unaweza kuona wamejikita na wanasikika...
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Maabara ya Vetenari Tanzania, Dk Stella Bitanyi amesema asilimia 65 ya vifo vya ng'ombe vinasababishwa na mdudu kupe (ndorobo).
Amesema mdudu huyo anayesababisha magonjwa makuu mawili, asilimia 80 kati ya vifo hivyo vinatokana na aina ya ugonjwa wa ndigana kali...
Waziri Mbarawa yuko sahihi Askari wa Traffic wanachangia ugumu kwenye sekta ya Usafirishaji
Alikuwa akiongelea kuhusu kupunguzwa kwa vituo vya mizani ili mizigo iwahi inakoenda alisema ni vizuri na askari was Traffic wakapunguza usimamishaji magari ili mizigo iwahi inakoenda
Naunga mkono hoja...
Wazazi ni watu muhimu sana kwani wao ndio chanzo cha watoto ambao ndo utajiri wa Mungu, lakini haimaanishi kwamba kila wasemacho, wafanyacho na waamuacho ni sawa kwa sababu hua wana tabia ya kuamulia vitu watoto hao ambapo ni jambo zuri ila endapo amuzi ni sahihi.
Malezi ya mtoto huonyesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.