Ifike mahali sasa OR-TAMISEMI wapunguziwe majukumu. Kwa kiasi fulani nadhani nao ni sehemu ya kuharibu ubora wa elimu nchini. Najua TAMISEMI wanahusika na TSC, TARURA, DART, Afya, Elimu, etc yani kwa ufupi ni kama wapo kila kona, pamoja na hayo eneo ambalo unaweza kuona wamejikita na wanasikika...