wanachuo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Dr. Janabi hujaliona hili? chuo chetu kikuu hakiruhusu wanachuo kuingia na maji ya kunywa maktaba

    Kuna taratibu zingine ukizikuta unaanza kujiuliza hawa waliwaza nini? Kwa aina ya viongozi waliopo pale chuoni kwetu sina shaka wote wanajua umuhimu wa kunywa maji kila wakati ili Ubongo ufanye kazi vizuri. Sasa inakuaje mwanafunzi anaingia maktaba anakatazwa kubeba maji ya kunywa na kule...
  2. A

    KERO Bodi ya mikopo kupitia app yao mpya imekuwa changamoto kwetu wanachuo kusaini malipo ikiwa ni ada pamoja hela ya kujikimu

    Kwa hali hayo tumeshindwa kusaini malipo hayo na kupelekea kuexpire baada ya muda fulani na kushindwa kupata pesa hizo hivyo tunaomba mamlaka kufuatilia ikiwezekana kuturudishia app tuliyokua tunatumia mwanzo maan hiyo haikua na shida yeyote baada kuapdate hii mpya ndo tunakutana hizo changamoto
  3. J

    Namna ya kusign pesa za heslb kwa wanachuo

    Nimesign boom Jana ya awamu ya kwanza baada ya ku appeal Sasa kwenye lo verification imekuja Moja na kwenye failed imeandika Moja apo wasiwasi wangu kwenye failed.lakin message nimetumiwa uku kuwa installment imekamilika niende ku confirm kwa loan officer apa ndo nataka nijue ili niende na...
  4. K

    Wanachuo na vyumba/chumba cha kupanga

    Maisha ya chuo/college yanahitaji kujipanga ili kukabiliana na changamoto, kama wahenga wanavyosema changamoto ni kipimo cha akili. Miongoni mwa changamoto hizo ni chakula na malazi/makazi/accomodation (Sio maradhi wapendwa😊). Kwenye issue ya chakula mambo yakiwa magumu mkombozi ni mihogo...
  5. Unaweza fikiri ni wanachuo wanajiandaa na mitihani...

    Hatari sana hii betting inakotupeleka.
  6. B

    Hii ndiyo Sababu sikuoa na wala sina mpenzi Mwanachuo

    Mnasikia yanayoendelea, yaliyoendelea na yatakayoendelea. Kila wakati mitandaoni tunaona wanaoliwa mitungo, wanaopakuliwa mambo haramu ni wasomi. Hii ndio sababu bora nikae na form Four Failure ila sio hawa wake za vigogo.
  7. T

    SoC04 Hela ya kujikimu kwa wanachuo itolowe kila mwezi badala ya kila baada ya miezi 2

    Wanafunzi wengi wanapojiunga na Elimu ya Juu wamekuwa wakinufaika na ada, ela ya kujikimu, utafiti n.k. inayotolewa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ili kuweza kuwawezesha kukamilisha masomo yao. Napenda kuipongeza Serkali kwa kuongeza kiwango cha ela ya kujikimu kufikia shilingi 10000/= kwa...
  8. Kucheleweshwa kwa boom makusudi kunasababisha wanachuo kupata tabu vyuoni

    Vyuo vikuu inakuaje board ya mikopo inaweka hela kwenye account za vyuo wiki mbili zinapita bado chuo haviandai voucher na cheques kupuleka bank wanafunzi wanapata pesa baada ya siku 84 sio 60 tena vyuo vinafaidika Nini na kuwacheleweshea wanafunzi pesa hapa SUA mjiulize 🤨
  9. G

    Akili za wanachuo wengi zimekaa kipigaji na kutaka zaidi ya mlichokubaliana ukiwaweka madukani, kwanini?

    Japo inategemeana mtu na mtu, kwa wastani Darasa la saba na form 4 wengi wala hawana shida ukiwaweka dukani, Shida inakuja uwaweke waliosoma vyuoni, yani hata awe kasomea kozi ya secretary ni shida sana, mwanzoni mnakubaliana vizuri kabisa mshahara, day allowance, muda wa kufika, n.k. lakini...
  10. Wanafunzi zaidi ya 450 wameahirisha masomo baada ya kukosa mikopo

    Hii ni taarifa mbaya sana kwa mstakabali wa hatima ya taifa letu. Wanafunzi zaidi ya 450 wameahirisha masomo baada ya kukosa mikopo baada ya mitihani kukaribia. Kwa mujibu wa utaratibu wa chuo, mwanafunzi atakayeruhusiwa kufanya mtihani yaani UE atawajibika kuwa na kitambulisho cha chuo na sio...
  11. Wanachuo MUHAS wanazimiwa AC na WiFi Ila wakiwemo wasudan zinawashwa

    Hii kali sana kweli ngozi nyeusi ni nyeusi tu.. Rafiki yangu aliepo MUHAS, katika story za hapa na pale akawa ananielezea kuwa licha ya JOTO la Dar hili lote madarasa wanayotumia kusomea na yenye WiFi huwa yanawashwa AC tu ikiwa hawa wanafunzi wageni wa SUDAN wakiwa wanafundishwa .. (ikumbukwe...
  12. N

    TNMC kulipisha wanachuo 30,000 ili wapewe coupon za kufanyia mtihani na bado tena Mwanachuo analipishwa 150,000 kufanya mtihani ni wizi na upigaji

    TNMC kulipisha wanachuo 30000 ili waapewe coupon za kufanyia mtihani na bado tena mwanafunzi analipishwa 150,000 kufanya mtihani.. Hili ni Janga upigaji kila Kona Baraza la wauguzi na wakunga TNMCS imeendelea kutuma taarifa za kuzisambaza kwa wakuu wa chuo kimya kimya ikiwataka wanachuo...
  13. Hivi kwanini mabinti wanachuo walozaliwa 1996-2003 wanafanya sana ngono for leisure?

    Wasalaam JF, Tafadhari wadau swali hilo hapo juu. kwanini hawa mabinti hawana noma kunyanduana, na haoni shida kukuchunia kama akiomba lake usimpomjibu na haijalishi una shoo shoo kali wala nini ukizingua anakupotezea. Hawana noma kukupa shoo za minyanduano bila michongo ya uchumba wala ndoa...
  14. Rate ya wanachuo mtaani ni kubwa, Wazungu njooni mtuajiri

    ...
  15. Nimekoma, yule mwanamke ni chuma ulete

    Habari wana jf, Moja kwa moja kwenye mada, katika pita pita hapa na pale nikiwa mkoani manyara alimaarufu kama mkoa wa Wambulu mix Wamasaai na wengine wanajiita Wairaq sijui kwanini wanajiita hio ila ni walewale Wambulu lugha ni moja kila kitu. Siku moja ilikuwa ni siku ya mnada ndani bahati...
  16. Wanachuo kwanini mnaongoza kufanya biashara ya ngono nini tatizo?

    Huwa nashindwa kuelewa hii ni kwasababu gani? biashara ya NGONO imetawala vyuoni ukimwi vyuoni dah ni balaa zito. Nini tatizo na nini chanzo mnategemewa kusema mnatafuta pesa za kutunza familia au ni vipi? Emu lete sababu tuwasaidie. Maana asilimia kubwa wanachuo wote ni watoto japo wengi...
  17. Vijana hasa wanachuo mnaoingia mitaani, hizi ndio mishe za uhakika na rahisi kujifunza kupata hela ya kujitunza, achaneni na visivyo na uhakika

    N:B.. fikiria kwanza kupata hela ya kujitunza kuweza kusurvive mtaani kabla ya kufikiria luxury needs, ni pesa inayoweza kukutoa hata hapo nyumbani kwenu kama unataka kuondoka Huwa naona kuna vijana wanashauriana kupiga mishe sijui za mtandaoni na upatu, hizo mishe huwa hazina uhakika japo wapo...
  18. Ujumbe kwa wanachuo na wahitimu wanaodharau wenye elimu za chini

    MUHIMU: Kwa wale baadhi yao wenye tabia hii, sio wote, wapo wanaojiheshimu ! Elimu yangu niliishia form 4, ilinibidi nianze maisha ya kujitegemea kwa kujifunza useremala naoufanya hadi sasa (najikongoja wala siwezi kujisifia nimefanikiwa ) Katika miaka mingi nimeweza ku observe kwamba kua...
  19. Wanachuo washtakiwa Kwa utapeli wa zaidi ya Tsh. Milioni 78 kupitia Mitandao ya Kijamii

    Kevin Anunda Mogaka, Francis Manyara Ogata, na Bravin Osano Ombongi wanadaiwa kuendesha akaunti 15 kwenye #WhatsApp na #Telegram, ambapo waliomba Kati ya Tsh. 48,000 - 672,317 kutoka kwa Wazazi kwa ahadi ya kuwatumia Karatasi zilizovuja za Mitihani Mbalimbali ya Taifa Hadi kukamatwa kwao...
  20. Kwa mahitahi ya nyumba na Hostel Karibu na Chuo Cha Diplomasi, TIA na IFM

    Kwa Wanachuo waliochaguliwa na wanaosoma TIA,Diplomasia,IFM na Mwalimu Nyerere vyumba vyakupangisha na hostels zinapatikana 📍 Kwa Aziz Alli -Single Rooms Kwanzia 50,000 - 80,000 -Master Room (Chumba na Choo Ndani) Kwanzia 100,000- 150,000 -Chumba Choo Na Jiko (Master Room na Jiko ) Kwanzia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…