Wanafunzi wa shule za kutwa jijini Dar es salaam wanakumbana na changamoto kubwa sana ya usafiri, hii inapunguza morali ya watoto kupenda shule, pia ni moja ya sababu ya matokeo mabaya kitaaluma yanayochangiwa na kuchelewa vipindi, kuchoka sana na hivyo kupunguza umakini wakati wa vipindi na pia...
Habari za Asubuhi mlio hai na kupata uzima wenye Nuru na baraka kutoka kwa Mungu Mwenye mamlaka ya dunia hii.
Leo Asubuhi Wakati naelekea kwenye mazoezi ya kuweka mwili fiti kidogo nilibahatika kupitia kwenye Barabara kubwa yenye mengi magari hapa mkoani kwangu,kubwa zaidi lilonifanya nifike...
Watoto mnawalazimisha kwenda mpaka Jumapili wasipokuja mnawachapa.
Jumamosi na Jumapili watoto wanaenda ibadani nyinyi mnawaza kufundisha tuu sijui akili zenu zikoje. Tafuteni kazi nyingine nje ya ualimu mnatia aibu mpaka nafasi za kuandikisha daftari la kudumu la wapiga kura mpoo.
Mnafosi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.