Habari wanaJF.
Jamani, nimeexperience mara kadhaa nikiwa nasafiri barabara ya Iringa kutoka Morogoro, huwa naona watoto wadogo wa shule ya msingi Msimba wakitembea umbali mrefu kufuata shule iliko. Mbaya zaidi, wakati wa masika huwa wanatia huruma sana watoto hawa, na huwa wananyooka wakitembea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.