Kumekuwa na utaratibu usio rasmi wa walimu hasa wa shule zilizopo maeneo ya vijijini kuvunja ratiba za masomo na kupeleka wanafunzi kulimia mashamba yao.
Mfano shule ya msingi Nyamagana na shule ya sekondari Ngasamo zilizopo halmashauli ya wilaya ya Busega, mkoani Simiyu, hizi ni baadhi tu ya...