My take.
Hii ndio Habari mpya kwa siku ya leo, kwamba vijana hao wamependekeza awanafunzi wenzao wanaochaguliwa kuwa Viongozi wa Serikali za Wanafunzi wawe wanalipwa mishahara na serikali, (Yaani Wale Marais wa vyuo na mawaziri wao)
=========
Viongozi wa Serikali ya Wanafunzi kwenye vyuo vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.