Wanafunzi wa UDSM tuna uhaba wa usafiri wa kutokea Main Campus (Chuo) kuelekea Mabibo Hostel, magari hayo maarufu kwa jina la SHATO.
Tunalazimika kukaa muda mrefu tukisubiri usafiri, inadaiwa kuna wakati magari hayo yanakuwa yanakodiwa kwa matumizi mengine wakati ambapo yanatakiwa kuwa...