wanafunzi wa kike

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Kwanini wanafunzi wa kike wanakatazwa kusuka?

    Shule nyingi za serikali zimekuwa zikikataza watoto wa kike kusuka na kuna shule baadhi za serikali zina ruhusu wanafunzi wake wa kike kusuka, je hii ni sheria au ni maamuzi ya shule husika na kama maamuzi nani anasimamia ili yasitumike vibaya? Historia fupi tu ni kwamba kipindi cha ukoloni...
  2. Tetesi: Wanafunzi wa kike shule ya sekondari Thaqaafa Mwanza wanusurika Kubakwa

    Wanafunzi wakike shule ya Sekondari Thaqaafa iliyoko mkoa wa Mwanza , wilaya ya Nyamagana wamenusurika kubakwa baada ya vibaka watatu kuingia ndani ya bweni saa nane usiku. Wakiwa katika harakati za kumziba mdomo mmoja wa wanafunzi ili asipige kelele waanze kumbaka, ghafla mwanafunzi mwenzake...
  3. NECTA 2024: Ufaulu wa Wanafunzi wa Kike wa Darasa la 7 washuka, Wavulana wafanya vizuri, Shule 12,838 zimepata Daraja C

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Darasa la 7 uliofanyika Septemba 2024 yanayoonesha Ufaulu wa Wasichana umeshuka kwa 0.53% kulinganisha na ufaulu wa 80.58% wa mwaka 2023 huku ufaulu wa Wavulana ukipanda kwa 81.85% kutoka 80.59% ya mwaka 2023. Jumla ya...
  4. Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

    Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila...
  5. A

    SoC04 Wanafunzi wa Kike na Elimu Tanzania

    Wanafunzi wakike nchini Tanzania wanapitia changamoto nyingi Sana katika masomo yao hasa shule za kijijini, changamoto hizi zinahusisha aidha familia(walezi), jamii inayomzunguka na walimu wake. Changamoto hizi hupelekea watoto wengi wa kike kupoteza masomo yao na kupelekea kufanya kazi...
  6. N

    SoC04 Serikali ijenge Mabweni shule za Kata kusaidia kupunguza vitendo vya ubakaji kwa wanafunzi wa kike na kuwalinda dhidi ya mazingira hatarishi

    Serikali ijenge Mabweni shule za sekondari Kata kusaidia kupunguza ongezeko la vitendo vya ubakaji kwa wanafunzi wa kike na kuwalinda dhidi ya mazingira hatarishi wanayopitia. Kutokana na umbali uliopo Kati ya shule nyingi za kata na makazi ya watu inapelekea wanafunzi wa kike kukumbana na...
  7. A

    DOKEZO Kuna Walimu wa Shule ya Sekondari wanaharibu maisha ya Wanafunzi wa kike Kilwa (Lindi)

    Asee kuna hili jambo linanikera sana na lina Waharibia Wanafunzi future yao. Nikiwa Mdau muhimu wa Elimu naumia sana kuona Waalimu wa kiume kukatisha ndoto za mabinti kwa kukuanzisha uhusiano nao na kisha kuwapa ujauzito na wengine ndoto zao kuisha kabisa. Wapo Wanafunzi kadhaa walifaulu...
  8. Wanafunzi wa kike shule za sekondari nyingi Mtwara wanadanga na wazazi ni kama wamebariki kabisa

    Ifike mahali sasa serikali ifanye uamuzi wa busara. 1. Ipunguze umri wa mwanamke kuruhusiwa kuingia katika ndoa kutoka miaka 18 hadi ( 14 & 15) kwa watu wa dini zote sio waislamu pekee maana sheria ya Ndoa ya mwaka 71 inasema kwamba mtoto wa kike Muumini wa dini ya kiislamu anaruhusiwa kuingia...
  9. Hii ni kama ile ya Salma Kikwete kuwaambia wanafunzi wa kike wasikubali kudanganywa na vichipsi

    Hakuna kosa la ukahaba. Wale wanawake waachiwe watafute pesa wanavyojua. Ni kosa mtu mwenye hela nyingi kuwashangaa wanawake wanaofanya ukahaba. Dini ya Kikristu haikatazi haya mambo. Unakumbuka Papa Francis alifanya mkutano na wauza vipodozi. No kidding! Papa alifanya mkutano na wauza...
  10. Hali ni tete sana, nini kifanyike?

    Kama humu ndani kuna walimu kuanzia ngazi ya awali mpaka university mtakubaliana nami katika Idadi ya watoto wa kike katika shule za awali hadi Msingi ni kubwa kuliko watoto wa kiume,nenda shule yoyote ya msingi, sekondari au chuo kikuu utagundua hilo. Mfano kwa sasa hapa University of Dar es...
  11. Chakula kuchanganywa na Mafuta ya taa kwa wanafunzi wa kike Sekondari

    Moja kwa moja kwenye mada. Wana JF hii ya kuchanganywa chakula na mafuta ya taa kwa wanafunzi wa kike waliopo boarding school kwa kisingizio wasipate au kupunguza hamu ya kufanya mapenzi imekaaje? Wazazi wanajuwa wako kimya? Walezi nao kimya? Wanajamii kimya? Kulikoni? Madhara kwa watoto wetu...
  12. SoC03 Wanafunzi wa kike mwaka wa kwanza kwenye mahusiano ya kimapenzi

    Kama jamii ya watanzania na Kwa maadili yetu, tunategemea kuona watoto wa kike wakipata malezi Bora na ushauri nasaha kuhusu mahusiano na athari za mahusiano ya kimapenzi hasa Kwa wale wa mwaka wa kwanza katika elimu ya chuo Kwa ngazi ya shahada. Wanafunzi wengi wa kike hujikuta wakiangukia...
  13. Kwanini Yesu hakuwa na wanafunzi wanawake?

    Naombeni majibu wakubwa. Kama hauna majibu ni bora ukakaa pembeni. Sitarajii kebehi
  14. J

    Tsh. Milioni 200 kujenga mabweni ya wanafunzi wa kike wilayani Rungwe

    Halmashauri ya Rungwe mkoani Mbeya imetenga zaidi ya Sh 200 milioni kwa ajili ya ujenzi wa mabweni mawili ya wanafunzi wa kike katika Shule ya Sekondari Kisondelo, ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu na kudhibiti utoro. Mwenyekiti wa...
  15. Walimu watafungwa sana na magereza yatajaa ikiwa Sheria hazitabadilishwa, wanafunzi wa kike ndio wanaowataka Walimu

    Wadau hili suala la walimu kufunguliwa kesi za kuwatia mimba wanafunzi au kuwabaka Mimi napingana nalo hasa baada ya kujionea wanafunzi wakiwa ndio chanzo Cha walimu kuwadinya wanafunzi. Majuzi nilienda kuwachukua wanafunzi Arusha wanaoishi Dar. Wazazi hujikusanya wanachangiana na kukodi Costa...
  16. SoC02 Mazingira upataji elimu kwa Wanafunzi wa Kike shuleni yaboreshwe

    Mazingira ya upataji elimu kwa Wanafunzi wa Kike shuleni yaboreshwe Na wenu, Mtambo 1272019 Kwa miaka mingi, tumeshuhudia mtoto wa kike akiachwa nyuma katika suala la upataji wa elimu bora , jambo hili limechochea watoto wa kike kuwia ugumu kupata elimu bora bila vikwazo vingi. Pindi umuonapo...
  17. F

    SoC02 Wanafunzi wa kike wa miaka (15-18)wanaopata ujauzito kutoka kwa wanafunzi wenzao wa kiume wenye miaka inayoendana wapewe adhabu pia

    Wanafunzi wa kike au mabinti wenye umri kati ya miaka kumi na tano mpaka miaka kumi na nane wanaopewa ujauzito au kufanya ngono na wanafunzi wenzao au vijana wenye umri unaoendana na wao wapewe adhabu ya muda mfupi kisha warudishwe masomoni chini ya uangalizi wa wazazi. Imezoeleka kwamba watoto...
  18. Utawala wa Taliban umetangaza wanafunzi wa kike wataruhusiwa kuhudhuria masomo endapo tu watatenganishwa na wa kiume

    Baadhi ya vyuo vikuu vya umma nchini Afghanistan vimenguliwa tena kwa mara ya kwanza tangu kundi la Taliban lilipochokua madarakani mwezi Agosti. Utawala wa Taliban umetangaza kuwa wanafunzi wa kike wataruhusiwa kuhudhuria masomo. Lakini endapo tu watatenganishwa na wanafunzi wa kiume na...
  19. Muda umewadia kwa waliojifungua kurejea masomoni

    Baada ya kilio cha muda mrefu kuhusu Wanafunzi wa kike kufukuzwa masomoni pindi wanapopata ujauzito hatimae serikali imeridhia kuwarudisha masomoni. Katika walaka uliotolewa mwezi Novemba mwaka 2021 na aliyekuwa Waziri wa elimu Professa Joyce Ndalichako ukibainisha kuwa wanafunzi wote walio...
  20. Kwani Wanawake mko wapi?

    KWANI WANAWAKE MPO WAPI? Na Moh'd Majaliwa, Adv. Kiasi imenistaajabisha na kunistua, sikuitarajia hali hii. Kwenye makutano na mikusanyiko mingi ya maana na ya kipuuzi, wanawake nyie huwa wengi zaidi ya wanaume, yaani mmekuwa wepesi kuhamasika na kwa ajili hiyo kipimo cha jambo lako la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…