wanafunzi wa shule za serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa Wazazi: Utapeli wa English Medium upo katika maeneo yafuatayo

    Mpo Salama! 1. Waalimu kulipwa mishahara Duni Unapopeleka mtoto English Medium au shule yoyote Jambo la Kwanza Kabisa lazima uulize mishahara ya waalimu. Wanalipwaje? Mshahara wa Mwalimu ni kiashiria namba Moja kuonyesha mtoto wako atapata Elimu Bora. Matokeo ya mitihani huweza kupokwa. Mtu...
  2. Ya Mohamed Mwameja na ubora wa Shule za Kayumba katika kuwaandaa watoto na maisha halisi

    Mwameja Mohamed Mwameja ni moja kati ya makipa bora kabisa kuwahi kutokea kwenye historia ya soka la Tanzania. Akifanya mahojiano na BIN Zubeir @ Azam Tv, aliulizwa swali nini siri ya ubora wa hali ya juu alio kuwa nao langoni. Majibu ya Mwameja: "Nilikuwa nafanya mazoezi magumu kuliko mechi...
  3. Serikali haitaki watoto wa Masikini wajue lugha ya Kiingereza?

    Hivi kuna mtu asiyejua umuhimu wa mtoto kufahamu lugha ya Kiingereza katika karne hii? Kuna mtu asiyefahamu kuwa shule za St. Kayumba ni kwa ajili ya watoto wa masikini? Unajua kwa nini miaka ya nyuma vigogo wengi walikuwa wakiwapeleka watoto wao shule za Kenya? Kwa asiyefahamu: 1. St. Kayumba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…