Habari zenu Wana jamvi. Moja Kwa moja niende kwenye mada husika...Ukisoma biblia kuna muda yesu aliwauliza wanafunzi wake kuwa watu wanamwita nani, kuna walio mjibu kuwa watu wanasema wewe ni Elia, kuna wengine wakajibu kuwa watu wanamwita mwalimu e.t.c, Kisha akawauliza tena "Ninyi mwasema mimi...