Najua Watanzania Hatuna habari na bajeti ila tuko busy kuwafuatilia Dr Yahaya, Masoud Kipanya na Mwijaku
Niwape tu taarifa kwamba askari 8 wa Israel wameuawa huko Rafah Leo kwa mujibu wa Al jazeera news
Tuzidi kuwaombea
Mlale Unono
---
Hamas says it carried out ‘a complex ambush against enemy...