wanajeshi wa israel

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Ni kwanini Hamas huwa wanakimbilia mahandakini na kuwaacha raia wakati jeshi la Israel huwapa kwanza usalama raia kwenye mahandaki

    Wakati makombora yanarushwa kutoka Gaza kuelekea Israel, Jeshi la Israel huwa wanawaisha raia kwenda kwenye mahandaki. Hamas hali ipo tofauti, huwa wanakimbilia kwenye mahandaki na kuwaacha raia watajijua wenyewe WHY ???
  2. Ritz

    Wanajeshi wa Israel wanakabiliwa na hatari kubwa ya kukamatwa nje ya nchi baada kufanya mauaji ya kimbari huko Gaza

    Wanaukumbi, Wakili aliyewasilisha kesi hiyo kwa niaba ya taasisi hiyo, Maira Pinheiro, alinukuliwa na vyombo vya habari vya Brazil akisema kwa vile Brazili imetia saini Mkataba wa Roma, inawajibika kuhakikisha kuwa uhalifu uliotolewa katika sheria hiyo (uhalifu wa kivita, uhalifu dhidi ya...
  3. kimsboy

    LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran

    Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo Yemen tayari keshaandaa wanajeshi laki 4 Iraq kuna wanajeshi laki 2 na nusu Hezbollah wapo zaidi laki...
  4. Ritz

    Takwimu za gazeti Kiebrania mauaji ya Wanajeshi wa Israel

    Wanaukumbi. ⚡️INGIA TU: Takwimu za Ekari za Masuala ya Kiebrania: Vifo 31 kati ya wanajeshi na walowezi wa Israel vimeripotiwa tangu mwanzoni mwa Novemba, kama ifuatavyo: •Novemba 1: Afisa mmoja wa Israel alikufa kutokana na majeraha mabaya aliyopata kwenye mlipuko wa nyumba iliyonaswa na...
  5. Ritz

    Wanajeshi wa Israel wanazidi kuuliwa huko Gaza

    Wanaukumbi. ⚡️Habari za asubuhi, wote hawa wamuliwa huko Kaskazini mwa Gaza. 🔻Sajini Orr Katz, umri wa miaka 20. 🔻Sgt. Nave Yair Asulin, umri wa miaka 21. 🔻Sajini Gary Lalhruaikima Zolat, umri wa miaka 21. 🔻Sajini Ofir Eliyahu, umri wa miaka 20...
  6. KakaKiiza

    Wanajeshi wa Israel wameandamana kumpinga Netanyahu kwa kitendo cha kumfukuza Gallants

    Wanajeshi anaopinga uamuzi wa kumfukuza Gallant waziri wa Ulinzi kimewakasirisha na kuungana na wapinzani katika maandamano ya kumpinga Netanyahu hii imetokea leo Israel. Zaidi Tazama hapa Wanajeshi Wa Israel wakiandamana
  7. G

    Wanajeshi wa israel wafurahia ushindi wa Donald Trump, wana uhakika wa kupata support ya nguvu kuzidi awamu ya Biden

    Mods polen kwa kazi, Please msimove post Kwanini wanajeshi wanashangilia Trump kushinda ? Kwa ufupi ni kwamba Besti yao karudi Trump aliifanya Iran ifulie, Vikwazo vya kuwazuia Iran vilisimamiwa ukucha, Iran imeanza kupata pesa baada ya Biden kuingia madarakani Trump alitambua Jerusallem...
  8. Ritz

    Wanajeshi wa Israel wanabeba maiti zao huku wanalia kwa uchungu

    Wanaukumbi. Wanajeshi wa Israel wanabeba maiti zao kwa kuvizia huku wakilia kwa uchungu baada ya kupigwa na Hezbollah kwenye mipaka ya Lebanon. Cha kushangaza wao wanauwa watoto na wanawake Gaza na kushangilia kumbe na wao wanasikia uchungu wa vifo. Wanachopata kutoka kwa Hezbollah ni haki...
  9. Ritz

    Video: Angalia wanachofanyiwa Wanajeshi wa Israel na Hezbollah

    Wanaukumbi. Mungu ni mkuu, Mungu ni mkuu, Mungu ni mkuu, na sifa njema ni zake. Tazama Mujahidina wa upinzani wakipambana kwa mbali na jeshi la wasomi wa Kizayuni waliokuwa wakiingia, na wengi wao waliuawa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Maombi yako kwa Mujahidina wa Gaza na Lebanon Ewe Mola...
  10. G

    Jeshi la Israel waingia Gaza kusaidia wenye njaa

    jeshi la israel waingia mitaa ya Gaza kusaidia wenye njaa misaada na pesa za umoja wa mataifa inaishia kwa magaidi na family zao raia wanaopinga hufyatuliwa Misaada ya umoja wa mataifa inaingia Gaza lakini ni kwajili ya Hamas na familia zao, Wapalestina wa Kawaida wanalalamika njaa, Hamas...
  11. ITR

    Wanajeshi wa Israel wanakabiliwa na shubiri huko Lebanon

    Wanajeshi wa Israel wanakabiliwa na shubiri chungu sana kwenye uvamizi wao huko nchini Lebanon. Hapo kwenye video ni kikosi maalum cha makomando cha Israel kilicho angamizwa na wapiganaji wa Hizbullah.
  12. Ritz

    Aysenur Ezgi, Mmarekani, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi kichwani na Wanajeshi wa Israel

    Wanakumbi. Aysenur Ezgi, Mmarekani mwenye hadhi ya Uturuki, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi kichwani na wanajeshi wa Israel katika mji wa Beita. Aysenur alipigwa risasi kichwani alipokuwa akishiriki maandamano ya kupinga upanuzi wa makazi. Je Joebiden ataitisha mkutano wa baraza la...
  13. G

    Muarabu Muislamu wa Israel alietekwa na Hamas arejea kwenye familia yake baada ya wanajeshi wa Israel kuhatarisha maisha kumuokoa ukanda wa Gaza

    Jina: Kaid Farhan al-Qudi, Baba wa watoto 11 Dini: Muislamu Alitekwa October 7 mwaka jana Uraia: Israel Asili:Muarabu Kikosi cha Shayetet 13, Brigedi ya 401 kilidiriki kufanya maamuzi magumu yenye kuhatarisha maisha yao kwenda Gaza ili kumuokoa Kaid Farhan al-Qudi kwenye maeneo hatari...
  14. Ritz

    Kuanzia wiki iliyopita pekee, wanajeshi 12 wa Israel waliuawa

    Wanaukumbi. ⚡️Vyombo vya habari vya Israeli: Kuanzia wiki iliyopita pekee, wanajeshi 12 wa Israel waliuawa. Si haba wauaji wa watoto wanazidi kupata haki yao nao wajue uchungu wa vifo. Leo majeruhi wengi kati ya wanajeshi wa Israel kutoka kaskazini mwa Israel, Golan na Gaza, walihamishiwa...
Back
Top Bottom