Kuna katabia kapo hata sijui aliyekaanzisha nani aisee, ka kuamini kila mwanamke anataka kuolewa na ndio lengo au ndoto za maisha yake.
Utakuta wanaume wanamtongoza mwanamke akikataa wanaanza kusema anaringa kwa kuwa bado umri haujaenda, ukienda ataokota yoyote aliye mbele yake ili aolewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.