wanake kuolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini mnawapangia wanawake ukomo wa umri wa kuolewa?

    Kuna katabia kapo hata sijui aliyekaanzisha nani aisee, ka kuamini kila mwanamke anataka kuolewa na ndio lengo au ndoto za maisha yake. Utakuta wanaume wanamtongoza mwanamke akikataa wanaanza kusema anaringa kwa kuwa bado umri haujaenda, ukienda ataokota yoyote aliye mbele yake ili aolewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…