Wanakijiji wa Huanghe, Mkoa wa Guizhou, China, wanakusanya vifuko vya nondo wa hariri. Katika miaka ya hivi karibuni, tasnia ya kilimo cha majani ya folium mori na kufuga wadudu wa Hariri imeendelezwa kwa kasi, na zaidi ya wenyeji 1,000 wametajirika kupitia kilimo hicho.