Kumekuwa na malalamiko mengi kuwa nyumba za kuficha Bati maarufu kama Contemporary au Hidden Roof zina shida ya kuvuja sana, sasa wataalamu au mliofanikiwa kujenga hizo nyumba hebu tushauriane hapa mafundi maiko wetu hawa wanakosea wapi?
Maana nataka kubadili paa langu liwe Hidden ila kila...
Kwenye magumu marehemu wanakumbukwa.
Hivi pamoja na akili zake Magufuli naamini asingeingia ujinga wa kugawa gateway ya nchi kizembe namna hiyo. Na bado naamini mtu mwenye akili timamu kamwe hawezi kugawa bandari ya nchi kizembe kiasi hicho haiwezekani.
Tuanze kugawa bandari ya Zanzibar kwanza...
1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo!
Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali...
Hivi karibuni kuna tukio limetokea huko Marekani ambalo kwa upande wangu limenifanya nifikiri tofauti kabisa. Msanii Kanye West alishambuliwa sana kwa maneno toka kwa Black Americans kisa kikiwa yeye kusema WHITE LIVES MATTER. Ikumbukwe weusi wengi wana harakati zao za BLACK LIVES MATTER...
Nani ameturoga? Kumfungia mwamuzi bila kudhibitisha pasipo kuacha mashaka kuwa mwanafuzi amekosea kwa makusudi na siyo kwa bahati mbaya ni kuonyesha namna tunavyodharaulika duniani.
Ni nani ana ushahidi kuwa waamuzi wetu wamekosea kwa kudhamiria? Hata sisi watazamaji tunategemea fursa ya...
Mkurugenzi TAMWA-ZNZ awashangaa wanaotaka mabadiliko ya sheria
Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa habari wanawake TAMWA-ZNZ Dkt,Mzuri Issa amesema mtazamo wa baadhi ya wanajamii kutaka watoto wakike wanaobakwa waliofikisha miaka (15) wawe sehemu ya kupata adhabu kisheria ikiwemo kufungwa...
Nimekuwa nikiona sana kuna kukosekana kwa uelewa juu ya utofauti wa mtu aliejiajiri (self employed) na mmilliki wa biashara (cusiness owner)
Mtu aliejiajiri ni mtu anaefanya shughuli zake yeye mwenyewe kwa asilimia kubwa ili kuzalisha kipato, mfano ni mangi mwenye duka, mtu mwenye duka anaeuza...
Wakati wote tangu dunia kuwepo, ulimwenguni matajiri ni wachache sana wakati mafukara ni wengi sana. Inakadiriwa asilimia 1 ya matajiri duniani wanamiliki asilimia 50 ya utajiri wote duniani!
Harakati nyingi duniani ni za kuwapa masikini unafu wa maisha. Kuna elimu bure, COVAX, MKUKUTA, LHRC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.