Wakati wote tangu dunia kuwepo, ulimwenguni matajiri ni wachache sana wakati mafukara ni wengi sana. Inakadiriwa asilimia 1 ya matajiri duniani wanamiliki asilimia 50 ya utajiri wote duniani!
Harakati nyingi duniani ni za kuwapa masikini unafu wa maisha. Kuna elimu bure, COVAX, MKUKUTA, LHRC...