wanamichezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Rais Samia ni kipenzi cha Watanzania hadi wanamichezo

    Leo ilikuwa kilele Cha siku ya mwananchi, kiukweli ukiangalia namna mabango yalivyokuwa yamepambwa na picha za mh Rais wetu kipenzi mama Samia Suluhu Hassan na namna yalivyokuwa yanaleta shangwe, unagundua kuwa mama Samia anaishi katika mioyo ya watanzania walio wengi sana nikiwemo Mimi ambaye...
  2. Hawa ndio wanamichezo wangu Bora 22 ndani ya Tanzania kwa Karne ya 21

    Karne ya 21 tumeshuhudia mengi Sana kwenye michezo,ya kutia aibu mfano kukosekana kwa disc lenye wimbo wa taifa ndani ya uwanja wataifa Hadi yale ya kubadilisha muda wa mchezo bila timu shiriki kupewa muda. Pia Kuna mengi mazuri ya kujivunia ndani ya miaka hii 22 ya Karne ya 21. Wafuatao ni...
  3. Rasmi: Kibu Dennis ni Mtanzania

    Tutegemee kumuona Kibu akivaa tena jezi ya Taifa baada ya sakata lake kuisha. === Chibu Denis (kushoto) akiwa katika kikosi cha Taifa Stars. Kulia ni John Bocco WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene, amehitimisha sakata la uraia wa Kibu Denis Prosper kwa kutangaza kumpa...
  4. M

    Kati ya Wanamichezo hawa Wawili wa Tanzania nani amechanganyikiwa akili na nani anaonyesha kuwa Kichwani zimekamilika?

    Mwanamichezo wa Kwanza kaamua Kuitangaza Tanzania katika Shati lake Kubwa, zuri na lililobuniwa vyema kwa Kuandika Maandishi makubwa ya VISIT TANZANIA. Mwanamichezo wa Pili kwa Akili zake anazozijua Yeye kaamua Kumuiga wa Kwanza kwa Kuandika mkononi mwa Shati lake Baya na Bovu ( tena kwa...
  5. Hivi mbona wanamichezo hatuteuliwi?

    Hivi sie wacheza mpira, kikapu, ngumi, judo n.k kwani tuna shida gani? Mbona hatuteuliwi? Sie kila wakati hatuonekani. Mtufikirie jamani, we are potential too, achaneni na Metacha🤭
  6. Si kila jengo, eneo na barabara lazima ipewe jina la Mwanasiasa au Kiongozi. Kuna Wanamichezo na Wasanii wanaopaswa kuenziwa ili kulinda historia yetu

    Marehemu mzee Morris Nyunyusa Nina jambo moja ambalo huwa linanitatiza kidogo. Majina ya viongozi wa kisiasa ndiyo yametanda kila kona ya nchi yetu. Kuanzia majengo, mitaa, barabara, taasisi za elimu na nyinginezo. Hili sina shida nalo na wala sina dhamira ya kulifanya kuwa shida akilini mwangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…