Mwezi Mmoja uliopita huko Mitandaoni tulionyeshwa Picha Mjongeo ya Marehemu Mzee King Kikii na hali yake ya Kiafya na wenye Maono tukajua ni suala la muda tu Israeli atafanya yake na imekuwa. Muda si mrefu tena (yaani leo) kuna Picha Mjongeo nyingine inamuonyesha Mwanamuziki mahiri kipindi chake...
Habarini,
Miaka ya 1980 kulikuwa na nyimbo kali za mziki zilizo romantic, kama vile stuck on you Lionel Richie, all my life -kci Jojo, endless love, end of the road Boyz to men, hard to say am sorry, Chicago, kina peabo Bryson na Roberta etc
Sahivi nyimbo za aina hiyo mbona hazitungwagi tena??
Salamu kwenu wabamuziki na wamiliki wa bendi za muziki wa dansi.
Kwanza niwape hongera kwa kazi nzuri ya kuburudisha, kuelimisha na kuhabarisha jamii.
Pamoja na kuwa mlifanya kazi nzuri sana muska hiyo, changamoto tunayopata sisi wadau wenu ni upatijanaji wa kazi zenu mtandaoni.
Leo hii...
Naanza na East Africa,Kuna wanamuziki ambao tangu niwajue hawajawahi toa ngoma mbovu msijichoshe sana wapo wawili:
Tanzania
Albert Mangwea[A.k.a Mimi] (R.I.P)
Huyu Jamaa hajawahi bahatisha,mbali na Akili nyingi nguvu kidogo,alikuwa na Akili ya kucheza na melody kama Kiroboto ila alikuwa ana...
Zifuatazo ni bifu zilizowahi kutokea hapa nchini ,baadhi yao ziliwahi kutokea na wahusika kumaliza tofauti zao na nyingine bado zinaendelea mpaka sasa.
Clouds media vs Kalapina
Clouds media vs Pfunk
Clouds media vs Dudubaya
Ruge vs Lady JayDee
Ruge vs Sugu
Ruge vs Diamond Platnumz
Ruge vs...
Wiki iliyoisha kulikuwa na kifo cha DJ Steve B ambaye alikuwa na jina kubwa sana katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya (bongo fleva) mwanzoni mwa miaka ya 2000.
Leo nimeona tuwakumbuke wanamuziki wa bongo fleva ambao wamefariki. Hii itasaidia pia kujua baadhi ya wana muziki wa bongo fleva...
nawasalimia kwa jina la Muumba wa mbingu na dunia na vyote vilivyomo.
Nisiwachoshe.
maana tayar mna uchovu wa mpambano wa kitaifa kati ya serkali na kanuni ngumu za kodi vs wafanyabiashara wanaokwepa kodi kwa kuuzia mizigo stoo bila risit.
Niliona kwenye tv maandalizi ya show kubwa ya dansi...
Naanza na Ja Rule. Mwamba alitikisa miaka ile kwanzia mziki mpaka picha zake zilikuwa zinabandikwa sana kwenye magari.
Afu mwamba mwingine ni Nelly aliwaharibu sana vijana wa Kitanzania kila mmoja alikuwa anabandika plasta shavuni😂😂
Kulikuwa na t-shirt flani zina oicha yake zilivaliwa sana!
• Quincy Jones
• Lionel Richie
• Stevie Wonder
• Paul Simon
• Kenny Rogers
• James Ingram
• Tina Turner
• Billy Joel
• Michael Jackson
• Diana Ross
• Dionne Warwick
• Willie Nelson
• Al Jarreau
• Bruce Springsteen
• Kenny Loggins
• Steve Perry
• Daryl Hall
• Huey Lewis
• Cyndi...
wapi na wa wapi dereva awe msemaji wa wapishi, mchekeshaji awe msemaji wa wana muziki.... haya mambo yalifanyika kwa kukurupuka mno kwa kweli,
Kwanini Steve Nyerere anang'ang'ania sehemu ambayo watu anaotaka kuwaseemea hawamtaki ?
ni wazi pia tabia za Steve zimefanya wasanii wawe na hasira na...
Hii Ndiyo Orodha Ya Mastaa Wa Muziki Afrika (Kusini Mwa Jangwa La Sahara) Wanaoongoza Kwa Wafuasi (Subscribers) Wengi Katika Mtandao Wa Youtube
1: diamondplatnumz 🇹🇿 - 6.03 Million
2: rayvanny 🇹🇿 - 3.46 Million
3: harmonize_tz 🇹🇿 - 2.96 Million
4: davido 🇳🇬 - 2.82 Million
5: fallyipupa01 🇨🇩...
WANAMUZIKI ACHENI KULIALIA HAMPATI SAPOTI; MNATAKA SAPOTI IPI?
Kwa Mkono wa Robert Heriel.
Imekuwa ni kawaida sasa watu hasa wa Tasnia ya muziki kulialia Mbuzi mee kila iitwapo leo.
Ooh! Hatusapotiwi!
Tunazimwa!
Tunafanyiwa figisu figisu!
Kuna Wasanii wanatukandamiza!
Yaani KELELE kelele Kama...
Wanamuziki kwenye nyimbo zao za video wamekua wakibuhusiana wakati mademu hao si wao inasaidia nini?
Unakuta nyimbo ni nzuri kusikiliza ila ukija kutazama video utamani hata watoto wako waiangalie hii wadau mwaionaje?
Kwa hapa Tanzania wasanii hawa tungewafananisha na Nandy, Quick Rocca, Rommy Jones au Shilole. Kwenye futiboli tungeweza kuwaita viraka maana ukiachana na uigizaji wao mzuri pia wana uwezo mkubwa kwenye kuimba.
Leo nataka niwalete kwenu wasanii watano kutokea korea kusini ambao ni waigizaji pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.