wanamuziki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini Diamond Platnumz hayumo top 20 ya wanamuziki matajiri Afrika?

    Imenishangaza Sana lakini ndiyo ukweli ulivyo. Yaani sijui wanatumia kigezo Gani kupanga hao wasanii matajiri!!?? Yaani Diamond hajafikia kuwa na ukwasi wa kutosha kuwa kwenye Orodha ya wanamuziki 20 matajiri Afrika!??
  2. Si kila jengo, eneo na barabara lazima ipewe jina la Mwanasiasa au Kiongozi. Kuna Wanamichezo na Wasanii wanaopaswa kuenziwa ili kulinda historia yetu

    Marehemu mzee Morris Nyunyusa Nina jambo moja ambalo huwa linanitatiza kidogo. Majina ya viongozi wa kisiasa ndiyo yametanda kila kona ya nchi yetu. Kuanzia majengo, mitaa, barabara, taasisi za elimu na nyinginezo. Hili sina shida nalo na wala sina dhamira ya kulifanya kuwa shida akilini mwangu...
  3. Wanamuziki wa Kimarekani walioweka mistari ya Kiswahili ndani ya nyimbo zao

    1. Mc Lyte, 1991 My mother put me in weusi shule which means black school in swahili MC Lyte kwenye ngoma ya krs 1 heal yourself. 2. Nas na Damian Marley, 2010 Nas and I can speak rap star Y'all feel me even if it's in Swahili habari gani? Damian Marley: Nzuri sana 3. Michael Jackson, 1987...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…