Binadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi siyo nyingi nazo zimejaa shida na mateso inasema Biblia
Matendo na maneno yenye kuwapendeza binadamu wenzako hukumbukwa milele.
John Pombe Joseph Magufuli tutakukumbuka kama mtetezi wa watu wa hali ya chini kabisa.
Rip.
Nawasalimu kwa jina...
Habari JF,
Binafsi sitachoka kuinyooshea kidole CCM kwa matatizo na maendeleo duni ya Taifa hili mbali na Tanzania kujaliwa maliasili nyingi sana.
CCM imetuaminisha kwamba hatuwezi fanya maendeleo bila Misaada ,mikopo na kujipendekeza nje ya Nchi.
CCM imefanya wananchi masikini kiasi kwamba...
Nimefurahi uchaguzi unaendelea ndani ya CCM ni hatari tupu, wale matajiri waliowekwa kando na Mh Mwendazake, sasa wanarudi Kwa kasi kasi ya 4G.
Ninaikumbuka sana CCM ya kabla ya Magufuli, ilivyokuwa tulip kuwa na macho tunakumbuka wenyeviti wa CCM mikoani walikuwa wafanyabiashara wakubwa sana...