Eti leo tunawashangilia matajiri wetu, kina MO na Azam, kwa kuujaza utajiri wao kupitia kuuza energy drinks, barafu za ukwaju, tambi, na viberiti. Lakini je, tupo serious kweli kama taifa? Tunafurahia mafanikio haya huku tukiangalia ajira za wanyonge zikiteketezwa kwa sababu shughuli ndogondogo...
I will be short
Watu tuna hustle sana kupush mambo yetu huko serikalini. Mambo ya viongozi ni chap sisi wengine ni hustle ya miezi kadhaa mambo mambo magumu sana.
Tukutane 2025, Watanzania kama ni mungu anatupiga pigo takatifu.
Hii serikali ya sasa sio yetu.
Ie 2025 mungu atuepushe na...
Wakuu,
Tumeendelea kuweka taarifa kama tunavyozipokea, kama mlivyoona zoezi la kupiga kura limesimama kwa muda mpaka wakati huu naweka uzi huu hapa kutokana na karatasi za kupigia kura kupelea, ambako imebidi zikachapishwe nyingine ili zoezi liendelee.
Sasa wakati hili linafanyika ukurasa wa...
Naanza kuamini kwamba mwendokasi ulikuwa uongo mwingine wa wanasiasa, kwamba wanataka kuondoa kero za usafiri jijini kwa ajili ya wananchi. Hizi barabara zilitengenezwa kwa ajili yao kukwepa bugudha za barabara za kawaida.
Nimeona kwamba barabara za mwekasi zinatumiwa zaidi na magari ya...
Akizungumza East Africa Radio asubuhi hii, Disemba 12, 2023, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema Haki za wananchi zinazopatikana nje ya mtandao zinapaswa kutolewa pia ndani ya mtandao kwa kuwa ni haki za msingi zinazogusa maisha ya watu.
Kuhusu kutokutolewa kwa taarifa za...
Eti maridhiano. Kuna maridhiano hapo au ile ziara ya rais Samia kule USA ndio imezaaa maridhiano uchwara ili kuwaridhisha mabeberu kuwa kuna demokrasia nchini. Demokrasia uchwara wakati wananchi wa kawaida wanaumia. Tozo, ufisadi na ughali wa maisha.
Nani mwananchi wa kawaida anahitaji Chama...
Naikumbuka vizuri sana siku ya tarehe 6/04/2021 ambapo Rais wangu mpendwa Mama Samia akiwaapisha viongozi mbalimbali pale Ikulu yetu, alisema kuna suala la Bima ya Afya kwa Wote, wataalam kaeni mlimalize hili, tuleteeni Serikalini tulijadili ili tuone kama linatekelezeka kwa kiwango gani.
Agizo...
Pili Mwinyi
Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” (BRI) lililotangazwa na rais wa China Xi Jinping mwaka 2013, kwa sasa linaonekana kuzaa matunda matamu kwa nchi zote zinazoshiriki kwenye pindekezo hili. Ukiwa sasa huu ni mwaka wa tano tangu Mkutano wake wa kwanza wa ushirikiano wa kimataifa...
Pamoja na kuwa mpaka sasa hakuna mpinzani makini na uhakika walio makini wamejificha na wanasubiri 2025 ikaribie na watajitokeza.
Lakini wakurugenzi wadhibitiwe kuchakachua matokeo na tum ya uchaguzi idhibitiwe kuchakachua matokeo. Rais Samia hatashinda.
CCM imegawanyika na wanaCCM wengu ndio...
Hili neno limekuwa maarufu sana kipindi hiki cha awamu ya 6, lini litafika mwisho na lini gharama za maisha kwa wananchi wa kawaida zitapungua! Mafuta ya kula juu, petroli ndo balaa, mbolea, yaani necessary items zote hazishikiki na bado upatikanaji wa hela umekuwa mgumu sana.
Na wakati huo huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.