wananchi wa tanzania

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    Ni nini chanzo na chimbuko la Upinzani nchini kutokubalika na kuaminika kwa wananchi wapiga kura wa Tanzania?

    Ni kwasababu hawana mipango na sera zinazogusa mahitaji muhimu ya kila siku ya wanainchi? Ni kwasababu ya ubinafsi, uchu na tamaa za vyeo na madaraka walionao, kiasi kwamba hawana muda wala haja ya kupambania changamoto za wananchi bali, wana nguvu sana kupambania masuala yanayohusu pesa...
  2. Tlaatlaah

    Ni hadaa na kujidanganya kwamba mahitaji muhimu sana ya wananchi wa Tanzania ni sheria za uchaguzi kubadilishwa

    Kumekuepo na hadaa za wanasiasa matapeli kuhubiri mabadiliko ya sheria za uchaguzi nnje kabisa ya wakati wa mabadiliko ya sheria na katiba, kana kwamba hayo ndiyo mahitaji muhimu zaidi kwa wananchi wa Tanzania kuliko maji, afya, elimu, kilimo, ufugaji, uvuvi, biashara, miundombinu, usafirishaji...
  3. Magical power

    Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma

    Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma jeshi la wananchi JWTZ limepoteza Askari wawili huku M23 wakishindwa kusonga mbele kutokana na mashambulizi mazito ya JWTZ yakiendelea idadi ya Askar wa M23 waliofaliki katika mashambulizi hayo imewekwa...
  4. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Madaraka Mabovu yanavyoendelea kuwatesa wananchi wa Tanzania kila siku

    Katika muktadha wa siasa za Tanzania, kuna changamoto nyingi zinazohusiana na utawala bora, uwajibikaji, na uhuru wa kujieleza. Viongozi wengi wanaonekana kuendesha shughuli za kiongozi kwa maslahi yao binafsi, huku wakiacha nguzo muhimu za uongozi ambazo zingesaidia kuinua maisha ya wananchi...
  5. Mhafidhina07

    Hivi Nchi za Mashariki ya kati zinatofauti gani na wananchi wa Tanzania?

    Wamebakia wanasiasa kubwatuka katiba mpya katiba mpya,wengine fulani katekwa,wengine njaaa,wengine kitukana mitandaoni. Upande mwengine umoja wa mataifa na waatabu kwa ujumla wameipa mamlaka nchi ya Israel kuvamia eneo lolote kwa mabavu huku wakibakia kuangalia na wengine kukemea/kubweka kama...
  6. robbyr

    TTCL hawana uwezo au ni hujuma kwa taifa na wananchi wa Tanzania?

    Tupo kwenye ulimwengu wa kasi kwa kila kitu ila TTCL kwenye huduma ya Internet wamelala au kukosa ubunifu. Mimi nimzaliwa wa Kilimanjaro na mtanzania ila jambo la mtando limekuwa kero sana kwenye baadhi ya vijiji vilipo chini ya mlima Kilimanjaro. Ukiangalia kwa sasa juu ya mlima huo...
  7. Lanlady

    Wananchi wa Tanzania wanahitaji hamasa kubwa katika kujituma kutafuta hela halali na kuacha uvivu

    Nimekutana na watu wazima kadhaa wenye ujuzi katika eneo fulani, tatizo kubwa ni kwamba watu hao ni wavivu na tegemezi. Fikiria unamuita mtu ili akufanyie kazi fulani ambayo utamlipa, halafu mtu huyo anakuomba umlipie nauli ya kuja eneo kazi ilipo. Hii ni halali kweli? Au ni utegemezi wa...
  8. Heparin

    Rais Samia: JWTZ halina mpango wa kuvamia nchi yoyote

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kilele cha Miaka ya 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Uwanja wa Uhuru Dar es salaam, leo tarehe 1 Septemba 2024. https://www.youtube.com/live/osYsFlm-yM4?si=1Cpa3zDEHIfIEkcn "Jeshi letu...
  9. Roving Journalist

    Rais Samia akitunuku Nishani ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

    https://www.youtube.com/watch?v=2hnFr5PaqRs Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akitunuku Nishani ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ) Ikulu Dar es Salaam, leo tarehe 29 Agosti, 2024.
  10. R

    Kwanini tumekubali kurudi kwenye siasa za chuki? Mbona wananchi wanaishi kwa amani? Viongozi wana hofu gani?

    Hakuna mwananchi anayeona kuna tishio au hali isiyo ya kawaida kwenye siasa. Ila viongozi wa kisiasa ni kama wamepaniki. Pamoja na mikutano yote waliyofanya bado nafsini mwao wanaamini wananchi wana njaa na wakiruhusiwa kuonyesha njaa zao kura zitapungua. Je makatazo haya hayapelekei kuathiri...
Back
Top Bottom