Huko Mbeya kama ilivyo kila Mahali Tanzania kuna kilele cha Maonesho ya Wakulima au maonesho ya Nanenane.
Pamoja ni bidhaa mbali mbali za kilimo ikiwemo vifaa vyake kama Matreka kuonyeshwa, kivutio kikubwa ni Bango lenye maelezo ya Utekaji, Watu wengi wamejazana mahali lilipo bango hilo, hasa...