Mambo vipi Wana jamii....?
Ebana katika jamii tuliyopo kuna mambo huwa yanaumiza sana.
Iko hivi
Jana tareh 28/01/2025 mida ya saa mbili usiku mshkaji wangu Mmoja tuliyekutana kwenye harakati za hapa na pale alinicheki tukapata japo Moja baridi Moja moto namaanisha ule mlima mrefu kuliko yote...
Habari,
Moja kwa moja kwenye mada. Hii imekaaje wakuu mume na mke kusali dini tofauti wakati bado wako pamoja ndoani?.
Kwa maana kuna majirani zangu hapa mmoja mke anasali Katoliki yeye Mwislam na mwingine mke anaswali kwenye dini ya Uislam ume Anglican.
Je, haiwezi kuathiri ndoa?.
Uzi tayari
Kijana ambaye amefahamika kwa jina la Faida Deus (34) mkazi wa kijiji cha Bugalama kata ya Bugalama Halmashauri ya wilaya ya Geita ameuawa kwa tuhuma za kufumaniwa na mke wa mtu.
Wakizungumza na waandishi wa habari ndugu wa marehemu wamesema tukio hilo lilitokea Oktoba 30 mwaka 2024 majira ya...
Hayati Lemutuz alisisitiza sana vijana kumudu kuwa na sehemu anapopaita kwake hata kama amepanga. Hata kama ni chumba kimoja hakikisha unamudu kulipa kodi ya pango. Hiki kiwe kipaumbele cha kwanza kwa kijana wa kiume. Kushindwa kumudu kodi ya pango huja na gharama kubwa inayodhalilisha utu...
Inasikitisha sana. Mbususu zinachakatwa sana nje ya ndoa hasahasa kwenye mtaa wangu. Nina mpango kusaidiana na jeshi la sungu sungu ili kuwakabili wanaume wenye tabia za kuchakata wake za watu ilihali wanajua wazi kuwa huyu ni mke wa mtu. Kwenye mtaa wangu si tu vijana, yaani hadi wazee wanaruka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.