wanandoa kusali dini tofauti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gatabhanya

    Hii imekaaje wakuu mume na mke kusali dini tofauti wakati bado wako pamoja ndoani?

    Habari, Moja kwa moja kwenye mada. Hii imekaaje wakuu mume na mke kusali dini tofauti wakati bado wako pamoja ndoani?. Kwa maana kuna majirani zangu hapa mmoja mke anasali Katoliki yeye Mwislam na mwingine mke anaswali kwenye dini ya Uislam ume Anglican. Je, haiwezi kuathiri ndoa?. Uzi tayari
Back
Top Bottom