Rais Vladimir Putin leo Agosti 27, 2022 amesaini amri ya kuwalipa kiasi hicho cha fedha watu wote walioondoka Ukraine na kuhamia Urusi wakiwemo Wastaafu, Wajawazito na Walemavu.
Amri hiyo iliyowekwa kwenye tovuti ya serikali, inaweka malipo ya pensheni ya kila mwezi kwa waliolazimika kuondoka...