Waajiri watakiwa kuongozwa na ubinadamu wa Mamlaka waliyopewa kwa kuwaongezea likizo Wazazi wa watoto Njiti ili kuepuka athari zinazoweza kujitokeza kwa mtoto ikiwemo kifo kwa kukosa uangalizi wa karibu wa mama yake.
Wito huo umetolewa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya...