wanaolalamika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Uhuru Kenyatta: Nimeona watu wanalia lia baada ya Trump kusitisha misaada. Mnalia nini na hela sio zenu?

    Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta ameonya viongozi wa Afrika dhidi ya kutegemea sana misaada ya kigeni kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump, wa kusitisha msaada wa shirikisho duniani kote. Akizungumza wakati wa Mkutano wa Usalama wa Afya wa Kanda ya Afrika Mashariki 2025...
  2. Logikos

    Wakenya wanaolalamika kulipwa 2USD kwa Saa kuifundisha AI wapo Sawa kutupia lawama Kampuni Husika, au wawalaumu Watunga Sera wao kuwafanya desperate ?

    Nimeona hio Documentary ya 60 Minutes; Kwa ufupi AI inahitaji kuwa trained ili iweze kugundua vitu kama picha, watu emotions n.k. Sasa Serikali ya Kenya imekuwa ikivutia makampuni kuja kuwekeza Kenya kwamba watu wana knowledge na labor ni cheap (kama walivyokuwa wanakwenda sana nchi kama India)...
  3. The25824

    Tiba kwa wanaolalamika sanaaaa

    Kwenye haya maisha , ni rahisi sana mtu kulalamika sana juu ya kila kitu kuliko kutoa mbadala. Ni rahisi kukosoa sana kuliko kuelekeza kwa njia nzuri ya kujenga wala sio kumponda au kumdhalilisha mwingine. Ili kuacha tabia hii , Njia nzuri ni kujitahidi kuuchunguza moyo wako juu ya...
  4. mahindi hayaoti mjini

    Wanaolalamika us dollar kupanda bei sana wachungulie hapo kwa jirani

    Jirani tu hapo leo imepiga 150 ksh kwa dollar moja, na kutoka kwao kuja kwa madafu ni 18.5 mpaka 19 oi.
  5. Ferruccio Lamborghini

    Kwa wale wanaolalamika kupanda kwa gharama za vifurushi vya internet hii ndio mitandao ya kuhamia kwa sasa

    Habari ya wikiendi wana JF wenzangu. Jana baada ya kutoka mishemishe jioni si nikasema ngoja nitumbukie vocha nichungulie kinachoendelea mitamdaoni. Nikapita dukani nikanunua Zantel ya 500 dhumuni nijiunge cha chuo ambacho ni MB 500 kwa siku 7 maana sina matumizi mengi ya data. Ile kupiga...
  6. Tee Bag

    Wanaolalamikia Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya tuongee hapa kidogo

    Kuna watu wanalalamika kuhusu Uteuzi wa Ma DC. Hebu tuongea Kidogo hapa..... Na Thadei Ole Mushi 1. Kuwa Mwigizaji au Msanii Hakukunyimi kuwa na sifa za kuwa Kiongozi. Tena Mwigizaji anaweza kuwa Kiongozi mzuri. Kinachoangalia ni uwezo wake katika kufanya vitu. Nilisema wiki Chache hapa...
Back
Top Bottom