Kwenye haya maisha ,
ni rahisi sana mtu kulalamika sana juu ya kila kitu kuliko kutoa mbadala.
Ni rahisi kukosoa sana kuliko kuelekeza kwa njia nzuri ya kujenga wala sio kumponda au kumdhalilisha mwingine.
Ili kuacha tabia hii , Njia nzuri ni kujitahidi kuuchunguza moyo wako juu ya...