wanaopinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. UHAI wa Mchungaji Malisa (Moja ya wanaopinga kilichotokea DODOMA) Ulindwe , bado tuko kwenye Majonzi ya Mzee Kibao !!.

    Niliuliza swali hapa, Hivi Dola na CCM Ina uhakika kua Wagombea wa mkutano Mkuu , wanauzika? Hawajaingizwa kwenye mtego wa matumizi makubwa ya nguvu?. Kilichotokea DODOMA ni mshangao , hamna lugha ya kufaa yakutosha kuelezea !! Ni Kikundi cha watu wachache sana ,kilichofanya Siri kubwa sana...
  2. Sawa ukifungwa mtandao X na viongozi wenu wa ccm na serikali wata kuwa wanapost wapi?

    Hii nchi bwana yani hawa ccm na watu wengine wanao shabikia kufungwa mtandao waulize kama raisi wao ana account JF. mtandao X ndio mtandao umebeba viongozi wengi wenye account kuliko mitandao mengine. Hivi nyie chawa wa ccm na uvccm mnajitafakari au mnataka kujiona mna akili
  3. G

    Kigoma: Mchungaji na waumini wanaowapinga kamchape wachezea kipigo kizito kutoka kwa wananchi

    kigoma ni mkoa mgumu sana ukianza kugusia suala la kutokomeza Kamchape
  4. M

    Papa asema wanaopinga waraka wake wa baraka kwa mashoga ni kikundi cha "watu wachache" hasa waafrika ila polepole wataelewa

    Katika mahojiano yaliyorushwa na gazeti la Italia liitwalo La Stampa, Papa amesema kuwa waraka wake wa kuruhusu baraka kwa mashoga unapingwa zaidi na vikundi vichache vya kiitikadi hasa Waafrika. Papa amesema Waafrika wanapinga hili suala kwa sababu za kiutamaduni Akasema kuwa ukiondoa...
  5. Maputo: Polisi watumia Mabomu ya Machozi na Kujeruhi Waandamanaji wanaopinga Matokeo ya Serikali za Mitaa

    Polisi Jeshi la Polisi jijini Maputo limetumia Mabomyu ya Machozi kuwatanya Waandamanaji wa Upinzani huku wengine wakijeruhiwa kutokana na kupinga matokeo ya Uchaguzi uliofanyika Wiki moja iliyopita wakidai Chama Tawala (FRELIMO) kiliiba Kura. Maandamano hayo yanafuatia uamuzi mwingine wa...
  6. Ubinafsishaji wa Bandari ilikuwa game changer, je Rais Samia alikwama wapi?

    Mimi niliposikia sakata la ubinafsishaji wa Bandari ilibidi nifaatilie mataifa mengine ambayo yaligundua Bandari zao hazifanyi vizuri wakazibinafsisha sasahivi zinaongoza kwa kufanya vizuri. Kwahiyo suala la Bandari kubinafsishwa ni jambo la busara na hekima ya hali ya juu na naamini damu na...
  7. Serikali yafuta mapendekezo ya kuzifanyia Marekebisho ya Sheria zinazohusu Umiliki wa Maliasili

    Serikali imeyaondoa mapendekezo yaliyopelekwa Bungeni ya kufanya marekebisho ya sheria ya Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili ya mwaka 2017 na Sheria ya Mapitio na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi Katika Maliasili ya nchi ya mwaka 2017 kuwa zisitumike katika miradi ya...
  8. B

    Wanaopinga Mkataba kati ya DP World na Serikali wanaeleweka zaidi kuliko wale wanaouunga mkono

    Habari wana JamiiForums. Rejea kichwa cha habari chahusika. Lengo la kuandika uzi huu ni kutoa maoni yangu juu ya wanaopinga mkataba kati ya DPW na serikali yetu ya Tanzania. Kwa maoni yangu, naona wale wanaopinga mkataba huu wanaeleweka zaidi kuliko wale wanaouunga mkono. Wale wanaopinga...
  9. Kikwete na Kinana wamtaka Kubenea na MwanaHalisi Kuomba Radhi kwa madai ya kuwalipa wanaopinga Mkataba wa Bandari

    Rais Mstaafu wa Awamu ya 4 Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana wamemwandikia Barua Saed Kubenea na Gazeti lake la Mwana Halisi wakimtaka kutimiza madai yao mawili ambayo ni 1. Kufuta Kashfa Dhidi yao na Kuomba Radhi 2. Kuahidi Kuacha Kuwakashifu kutokana na...
  10. M

    Amos Makalla: Wanaopinga Mkataba wa Bandari ni wivu tu

    Mkuu wa mkoa wa Mwanza Amos Makalla amesema wanaopinga uwekezaji wa bandari za Tanzania hawana maono na maendeleo yanayoletwa na serikali. Akizungumza wakati wa mkutano unaofanyika jijini Mwanza amesema uwekezaji huo utasaidia katika usafirishaji wenye urahisi wa mizigo mbalimbali kupitia...
  11. CCM yaamua kutuma meseji kwa kila Mtanzania kuwakataa wanaopinga mkataba wa kuuzwa kwa bandari zetu

    Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Godfrey Chongolo kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Samia Suluhu Hassan, anakupongeza Ndg. John Keshokutwa Madenge kwa kuwa mstari wa mbele kukataa wapotoshaji wanaopinga hatua za uboreshwaji wa huduma za Bandari, kama...
  12. P

    Katazo la Maandamano ya UVCCM ni Mkakati wa kuja Kukataza Maandamano ya Wanaopinga Serikali siku zijazo

    Wakuu, Ukifanya mipango inabidi ucheze vizuri karata zako usiwe 'too obvious' kama Wazaramo wanavyosema. We ulisikia wapi maadamano ya kusifia juhudi za 'Mama' yanapingwa tena karibia na mikutano/maandamano ya upinzani kupinga mkataba wa DP World? Ikifika tar. 22 mtaona, wataambiwa hamuwezi...
  13. B

    Mkuu wa Mkoa Mbeya na Spika Tulia wawaomba Machifu wawaloge wanaopinga Mkataba wa Bandari

    Mkuu wa Mkoa Mbeya na Spika TULIA Wawaomba MACHIFU WAWALOGE wanaopinga MKATABA WA BANDARI😂🤣 Mkuu wa mkoa akiongea zilisikika sauti za wanaCCM wakidai walogwe wale wanaopinga mkataba na ikabidi mkuu wa mkoa akubali rai ya wanaCCM kuwa wanaopinga basi machifu wafanye yao kama wanaCCM walivyodai
  14. Wanaopinga mkataba wa DP World njooni hapa mseme mnataka nini?

    Kumbe TICS nao mkataba wao ulikuwa usio na mwisho na bado tumewapiga chini na kuvunja mkataba ,so ishu ya muda sio hoja tena lolote linaweza kutokea mbeleni tukabaki na bandari na kuweka kampuni nyingine!.Wala hamsemi Kumbe ajira zitangezeka hasa kutokana na usafirishaji wa mizigo nje na ndani...
  15. Spika Tulia: Wanaopinga mkataba wa bandari wana mdomo. Msiwasikilize wanaohubiri ubaguzi

    Spika wa Bunge Dkt.Tulia awashukia vikali kama mwewe wanaopinga Mkataba wa Uwekezaji Bandarini. Hayo yamejili wakati wa ziara yake jimboni Mbeya kuelezea faida za uwekezaji wa DP world katika bandari nchini Watu wamesema sana na mimi huwa nakaa kimya nawasikiliza tu, Huwezi kuwa unabisha kila...
  16. Wanaoukubali mkataba wa makubaliano na wanaoupinga nani wana haki?

    Ni aibu kuwa tangu tupate uhuru zaidi ya miaka 60, hatuna uwezo hata wa kuendesha bandari zetu kwa ufanisi. Najua inauma. Hivi karibuni kumekuwa na mgawanyiko mkali baina ya watawala walioamua kubinafsisha/kuuza bandari zetu kama ni kweli na wale wanaopinga wakiwatuhumu ufisadi na kutojali mali...
  17. Uhuru wa maoni uwe na mipaka. Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni uchokozi

    Hakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mpaka kutusi. Haya yanayoendelea si maoni tena bali ni uvunjifu wa amani uliokusudiwa. Uhuru wa maoni ni lazima uwe na mipaka...
  18. Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam

    Kwa mujibu wa Waziri wa Ujenzi na Usafirisha, Profesa Makame Mbarawa, Tanzania na Dubai zinatarajiwa inatarajiwa kujadili na kupitisha Mkataba wa Kiserikali (IGA) kuhusu kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam. Habari zaidi, soma: Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa...
  19. Ni wakati gani ndani ya CCM kulikosekana Ufisadi na mafisadi?

    Tangu mwaka 1977 CCM iko madarakani na wakati wote huo mpaka sasa ufisadi na mafisadi ndiyo mtindo wa kuendesha nchi kutoka CCM. Kama kuna mtu anaweza kutuambia kwa uhakika ni wakati gani kulikuwa hakuna Ufisadi na mafisadi ndani ya CCM, atuambie tujue!!
  20. Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Hakuna kipengele kinachozungumzia uuzwaji wa Bandari, na hakuna mkataba wowote ulioingiwa

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi atoa maneno mazito mjadala wa DP World Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, amejitosa kwenye mjadala wa uwekezaji wa kampuni ya Dubai ya DP World unaotarajiwa kufanywa kwenye bandari ya Dar es Salaam kwa kusema kuwa kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…