Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Bara, Tundu Lissu, ameweka wazi aina ya watu wanaostahili kuwa viongozi ndani ya chama chao.
Akizungumza leo Novemba 13, 2024 mkoani Singida wakati akifungua mkutano wa viongozi wa chama wa mkoa huo katika ngazi mbalimbali, Lissu amesema "Naomba mfikirie...