Najua Kuna nyuzi nyingi kuhusu kikokotoo kipya vs kile Cha zamani,
Lakini ili kuondoa utata naomba mods waache huu uzi,
Kwani hili swali likijibiwa utata wote utaisha..
Hili ni maalum kwa WALE WANAODHANI KIKOKOTOO KIPYA NI KIZURI,
SWALI:
mwalimu YASINI amestaafu akiwa na mshahara basic tsh...
Kila anayesimama kutetea watanzania anafungwa na watanzania ila anayeiba anaongezewa cheo. Tumeona wale wote walioiba wakasifia watawala wanazidi kupewa nafasi nzuri ya kuiba na kula ila wale wote waliosimama kutetea wananchi wanyonge wasipofungwa basi watashinda kesi.
Tukiendelea na tawala...
Wanaotetea Sakata la mkataba wa bandari hawana tofauti na waliokanusha kifo cha rais enzi zile ilikuwa hivi hivi!
Wengine walikwenda mbali zaidi wakidai wameongea nae kwa simu asubuhi kawaambia wachape kazi yuko mzima!
Watu walizidi kuhoji rais wetu yuko wapi walijibiwa yupo chato anawageni...
Niseme wazi kabisa wabaotetea huu mkataba wa kipuuzi kati ya Tanzania bara na DP World kuwa wamilikishwe bandari zote za Tanzania bara kwa mkataba usiokuwa na ukomo wanasumbuliwa na udini. Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuthubutu kuungana na huu upuuzi zaidi tu ya udini wao. Wana...
Tundu Lissu umepigwa risasi ukipigania haki ya kuhoji na kumpinga Rais. Sasa imekupasa kufanyika mfano wa utaua na mzee wa kitaifa, a towering statesman
Spika Ndugai hakujali ulipopigwa risasi, na hajui unachokitetea ni nini, leo hii yamemkuta Spika Ndugai, mwanasiasa mwenzio na mtesi wako, the...
Huu ujumbe umwendee Humphrey Polepole, wenye chuki wote na Mama Samia wakiongozwa na kile kikundi kilichotaka kuigeuza Tanzania nchi ya kikabila na kikanda!
Kwanza poleni sana! Naona mnateseka sana pale Mama Samia anapofanikiwa jambo! Mnajaribu kuzua mambo juu ya mambo ili kumtingisha Mama wa...
Nimeangalia maisha ya aliyekuwa rais wa Bukinabe Thomas Sankara na kugundua kuwa ukiwa kiongozi mwenye nia ya kujenga taifa linalojitegemea na kulinda rasilimali zake basi tambua maisha yako yapo hatarini.
Pia maisha ya Patrice Lumumba wa Congo nayo yanaonyesha ni namna gani wakora wa mali za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.