Kwanza niseme tu leo lazima nifungue champagne
Nilikuwa naangalia nomination list ya Grammy kwa mwaka huu ambayo imetoka muda mfupi uliopita
Kuna kile kile kipengele cha Best African Music Performance ambacho wasanii wa Afrika huwa wanatajwa
Mwaka huu katajwa: Burna Boy, Davido, Tayla, Ayra...
Waandaaji wa Tuzo kubwa Duniani Tuzo za Grammy wametangaza orodha ya wasanii watakaowania kwenye tuzo hizo zilizopangwa kutolewa February 2025.
Staa kutoka Tanzania diamondplatnumz bahati imekuwa mbaya kwake kwani hayupo kwenye kipengele cha Best African Music ambacho aliwasilisha wimbo wake...