wanariadha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Melubo Letema

    Wanariadha wasusia Karatu Festivals baada ya Henry Tandau kumuita Alphonce Simbu Msaliti

    Baadhi ya wanariadha wakubwa wa Tanzania wasusia mashindano ya karatu festivals yanayoandaliwa na kamati ya olimipiki Tanzania (TOC) ikiwa ni baada ya makamu wa rais wa TOC Henry Tandau kumkata jina kwenye uchaguzi wa kamisheni ya wachezaji na kumuita muasi/msaliti kwa kuhamasisha wenzake kuvaa...
  2. Melubo Letema

    POSSO Yatangaza neema kwa wanariadha Tanzania

    Kutoka kushoto ni Suleiman Nyambui, Luis Posso(Posso International Promotions) , Mao Hando , Zakarie Barie , Yuich Isaka (Asics) na Mwanariadha Gabriel Gerald Geay. Kampuni ya Posso International Promotions yenye Makao Makuu yake nchini Marekani imetangaza neema kwa wanariadha wa Kitanzania...
  3. Melubo Letema

    Ndumbaro una maslahi gani na Filbert Bayi?

    Waziri Ndumbaro kwa nini huwapumzishi hawa wazee Filbert Bayi, Ghulam na Henry Tandau? wanaotafuna pesa za watanzania? Bayi anakula pesa za wanariadha , makocha na hata wanahabari ambao walitakiwa wapate scholarships mbalimbali, sasa toka afiki paris ufaransa ambapo alipelekwa na bayi yuko kimya...
  4. Mkalukungone mwamba

    Wanariadha watatu wa DR Congo wametoweka tangu Jumapili siku ya mwisho ya michezo ya 33 ya Olimpiki

    Wakati sherehe za kufunga michezo ya Olimpiki zikifanyika mjini Paris, wanariadha watatu wa DR Congo wametoweka tangu Jumapili hii, siku ya mwisho ya michezo ya 33 ya Olimpiki. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ilishiriki katika matukio manne (Judo, kuogelea, riadha na ndondi) nchi hiyo...
  5. U

    Wanariadha wa Tanzania wapo mzigoni leo Olympique

    LEO, saa 3:30 asubuhi sehemu ya wanariadha watakaokimbia katika Olympics wamo Watanzania pia Alphonce Felix Simbu na Gabriel Gerald Geay Mashindano haya Olympic yanaruka mbashara kupitia #ZBC2 #Olympic #Olympicgame #Paris
  6. Hismastersvoice

    Serikali iwapelekee medali wanariadha wetu mahili huko Paris

    Mashindano ya Olimpiki yanaendelea huko Paris huku watalii wetu wakiwa hawajui kilichowapeleka huko kwenye mashindano hayo. Kikosi cha Tanzania ni kikosi duni kuliko vyote kwani ni vigumu kumtambua nani kiongozi na nani mchezaji, wote wanafanana. Serikali iwatoe aibu kwa kuwachongea medali...
  7. U

    Magaidi wanaofadhiliwa na Iran wapanga shambulizi kubwa la kigaidi dhidi ya wanariadha 88 wa Israel kwenye michezo ya Olympic Paris

    Wadau hamjamboni nyote? Tuwaombee ndugu zetu wa taifa teule la Mungu dhidi ya mkono wa ibilisi anayekusudia kuwaangamiza. Tunaamini taifa teule la Mungu litaendelea kudumu likiwa na baraka tele za agano la milele Taarifa kamili hapo chini: Israel warns France of plot by ‘Iranian terrorist...
  8. Melubo Letema

    Wanariadha wa 4 kutuwakilisha kwenye mashindano ya Olimpiki huko Paris Ufaransa Mwezi Julai, Kambi kuwekwa Arusha

    BAADA ukimya wa muda mrefu kuhusu lini timu ya Taifa ya Riadha itaingia kambini kuanza maandalizi ya mashindano ya Olimpiki ambazo zitafanyika mwezi Julai huko Paris Ufaransa hatimae Shirikisho la Riadha Tanzania (RT),imefunguka kuwa kambi hiyo itaanza mapema wiki hii. Tanzania itawakilishwa na...
  9. Melubo Letema

    Wanariadha 9 Kuliwakilisha Taifa kwenye Mashindano ya Dunia ya Nyika, Belgrade Nchini Serbia

    Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania, Silas Lucas Isangi akikabidhi vifaa vya Michezo kwa nahodha wa timu Dectaforce Boniface na Msaidizi wake Hamida Nassoro Mussa Kwa niaba ya Wanariadha 9 na Kocha mmoja wanaokwenda kwenye Mbio za Dunia za Nyika Huko Belgrade, Nchini Serbia. Rais amekabidhi...
  10. Melubo Letema

    Timu ya Taifa ya Riadha kutuwakilisha All African Games, Ghana

    Timu ya Taifa ya Riadha wameondoka leo na kuagwa na Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania Silas Lucas Isangi na Kaimu katibu mkuu wa RT Wakili Jackson Ndaweka katika uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro. Wanariadha hao 8 wakiwemo wa Mbio za Uwanjani, Mbio ndefu na Mrusha mkuki, wameondoka kwenda...
Back
Top Bottom